TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

CaptureLL.png

Msanii za muziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja akiwa msibani hapo.

Capture-2.png

Baadhi ya waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni msibani hapo.

H.png

Baadhi ya ndugu, jamaaa na marafiki wakiwa katika huzuni msibani hapo.

IMG_7307.jpg

Taswira mbalimbali za msiba huo.

IMG_7315.jpg

Nyumba aliyokuwa akiishi marehemu, Agnes Gerald ‘Masogange’.

KUELEKEA kifo cha mwanadada aliyekuwa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kufariki dunia jana jioni, baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wamejitokeza nyumbani alipokuwa akiishi msanii huyo Makongo Juu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa pole kwa wafiwa.

Taarifa kutoka kwa dada wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Flora alisema kuwa taratibu za kutoa heshima za mwisho zinatarajiwa kufanyika kesho Jumapili na mwili wa ndugu yao utasafirishwa siku hiyo kuelekea Mjini Mbeya.

Kwa upande wake msanii wa Bongo Fleva, Abdulazizi Chende ‘Dogo janja’ amesema kuwa kifo cha Agnes ni pigo kwa jamii kwani alikuwa bado kijana mdogo na alikuwa akitegemewa na familia hivyo kuondoka kwake kumeacha simanzi nzito kwa wasanii na majirani zake kwa ujumla.

kweli maisha chini ya jua ni kukimbiza upepo tu binti wa watu kama angelijua kuwa hana muda mrefu wa kuishi asingejitabisha kwa kiasi kikubwa hivi.
RIP dada lakini kuna mengi ya kujifunza kwa tunaobaki na hasa vijana
 
View attachment 752709 Nyumbani kwa Baba yake Mzazi Agness Gerald 'Masogange' Mbeya Mbalizi kata ya Utengule Usongwe ambapo mazishi yatafanyika tayari Wametenga Msiba. - Baba Mzazi anaitwa Gerald Waya ambapo amesema nyumba amejengewa na Mtoto wake Agness
Uvideo kwini unalipa hadi baba kajengewa Nyumba.
 
Heee!! Masogange Vipi umefufuka nini!???,Hatuwezi heshimu maiti ya namna hiyo yeye kauwa wangapi kwa madawa ya kulevya angekuwa anajiheshimu angekuwa anapiga picha za uchi hizo picha alitupa za ukumbusho na ndo tunamkumbuka
Duh aisee!
Jamani jamani!
 
kweli maisha chini ya jua ni kukimbiza upepo tu binti wa watu kama angelijua kuwa hana muda mrefu wa kuishi asingejitabisha kwa kiasi kikubwa hivi.
RIP dada lakini kuna mengi ya kujifunza kwa tunaobaki na hasa vijana
Ni kweli mkuu,namshangaa huyu anayenunua wapinzani utadhani hatakufa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
View attachment 752709 Nyumbani kwa Baba yake Mzazi Agness Gerald 'Masogange' Mbeya Mbalizi kata ya Utengule Usongwe ambapo mazishi yatafanyika tayari Wametenga Msiba. - Baba Mzazi anaitwa Gerald Waya ambapo amesema nyumba amejengewa na Mtoto wake Agness
Afadhali na hawa wakipata wanakumbuka nyumbani kamuachia baba yake sehemu nzuri ya kuishi
 
Heee!! Masogange Vipi umefufuka nini!???,Hatuwezi heshimu maiti ya namna hiyo yeye kauwa wangapi kwa madawa ya kulevya angekuwa anajiheshimu angekuwa anapiga picha za uchi hizo picha alitupa za ukumbusho na ndo tunamkumbuka

Picha alipiga kwa hiyari yake na alijua kuwa hazina maadili, kwa nn aliziweka mitandaoni? Hii inaonyesha dhahiri kuwa hata yeye mwenyewe muhusika hakuwa na maadili. Sasa kama yeye mwenyewe hakujiheshimu, nani anadhani atamuheshimu hata kama kwa sasa ni marehemu?
 
kosa analolifanya Mshana Jr kuwa kila kitu anakichukulia kisiasa hilo ndio kosa lake kubwa. Namkubali sana Mshana Jr kwa post zake lakini kwa hili nimekataa kuwa naye kwenye gari moja maana ni kitu ambacho kipo wazi kabisa... tulipofikia sasa hata leo hii Mange Kimambi akifariki kwa matatizo yake yanayomsumbua basi kuna watu watahusishwa tu maana ndio akili zetu zilipoishia kufikilia
Kumbe mange alishaukwaa?
 
Wameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.

All in all, RIP.
Kumbe ameanza kusumbuliwa na polisi eee safy sana ingawa naona kama vile danganya toto
 
Huyu Masongange mbeba madawa ya kuleta ya kuangamiza kizazii cha dunia ikiwemo Tanzania ni nani hasa mpaka eti tukamzike public holiday? Akazikwe na waliokuwa punda wao na mateja aliyozalisha. May she land in helll safely. Sitaki kuwa mnafiki hapa.
 
Bila shaka hautokufa mkuu
 
View attachment 752709 Nyumbani kwa Baba yake Mzazi Agness Gerald 'Masogange' Mbeya Mbalizi kata ya Utengule Usongwe ambapo mazishi yatafanyika tayari Wametenga Msiba. - Baba Mzazi anaitwa Gerald Waya ambapo amesema nyumba amejengewa na Mtoto wake Agness
ndo uzuri wa mitoto ya kike..litafanya ufuska huko,litachuna mabuzi lkn lazima kwao lipaweke sawa..huyu masogange pamoja na mambo yote machafu anayotuhumiwa kuyafanya but kwa hili la kukumbuka kujenga kwao ni jambo zuri sana na nimelipenda .kuna viongozi kibao wa serikali tena wenye nyadhifa kubwa tu lkn huwa hawakumbuki kujenga kwao kabisa.
 
Mi
Sina muda wa kumwangalia huyo niko busy namwangali Yesu,mkuu kama uzuri wa sura unakusumbua utapata shida sana bora uhame dar,kwani wazuri ni wengi na siku hizi mabinti wanajua kujipamba sasa itakula kwako.Si kila kitu kinafaa vingine kimbia.Unamwitaji Yesu mkuu,katika shule yangu kielelezo cha kuwa mtu ni mwanaume si kuvutiwa na wanawake wazuri ni zaidi ya hayo.Wewe usijidhalilishe trust me watu watakutapeli kwa kukuletea wanawake wazuri,mwenyewe umekiri udhaifu wako.
Kifo ni kifo,haijarishi umekufaje au umeagwa na watu wangapi,unachotakiwa kujua kabla yako walikuwepo watu ,unadhani waliokufa Syria walikuwa wanawake wenye sura mbaya,kifo hakiangalii sura ,kwa wale waliosoma kitabu cha "Song of Lawino and Okolo kifo kiliitwa "the last safari t pagaki,the place of no return".Unahitaji mke wa kuoa kuna vitu vingi huangaliwa na si mihemko hiyo,nenda kwa mchungaji Peter Mitimingi atakuelimisha,unahitaji uponyaji kwa nini uwe na mifadhaiko?
miti mingi yule kijana ntanashati Na msanii? Kama unataka kumpa promo we kalipie tangazo.Mimi sijawaona wa wa wanao kufa homs au raqaa. Nimeona masogange Binti mzurii jamani mungu angetuachia huyu akachukua wapendwa.mtoto alikuwa pambo la daresalam
 
Back
Top Bottom