Naomba nielimishwe kidogo maana sijaelewa. Huyo Masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie ilaa kwanini kina Steve Nyerere wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?
anataka kupiga rambi rambi huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nielimishwe kidogo maana sijaelewa. Huyo Masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie ilaa kwanini kina Steve Nyerere wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?
Unga wewe usihamasishe wengine shabaaaaamitacha hizo sio kila star bali huyo dem tunamkubari kinoma mi binafsi naunga mkono hoja
mkuu ni muuza unga flani hivi ambae mungu kamchukua tayari ili wapone vijana wengi ambao walikuwa wakila unga kwa moja ya sababu ni huyo mtu.Huyo ndo nani kwani?
Kwani yeye alikufa kwa sababu hakupima!Naona watu wanataka kusema Agnes kafa na ukimwi.
JE SISI TULIOBAKI TUMEPIMA.?
wewe ndo mwenye tabia mbaya mkuu.Tabia mbaya kumsema marehemu
Una uhakika amekufa kwa ukimwi.Kwani yeye alikufa kwa sababu hakupima!
After this life ni vile ulivyoyaandaa! RIP prayers zingekuwa ni kweli, zingewapeleka wengi kwenye hiyo peace maana mnajitahidi sana kuwaombea!Kafa na umbo lake kweli maisha mafupi
Apumzike kwa amani
Naona unajishuku mwenyewe bila kuambiwasiku zote ukifa na ilhali maarufu ambae umaarufu wako ulitokana na jambo ambalo wengi walikuwa wanalifanya kama wewe basi tambua huna safari ya utajo wa milele au wa muda mrefu.
Kanumba kafa mda sana lakini kile ambacho alikuwa anakifanya kuna ambae alifikia ubora wake?
lakini ni mtu anatajwa mpaka leo na kazi zake zinafahamika.
Lakini tukija kwako wewe ambae umekufa na ilhali ulikuwa na skendo chafu ambazo zimethibitika ni kweli mpaka ikafika hatua kushtakiwa na kulipa dhamana kwa kosa ambalo wengi katika watu wanaumia na kuteseka watoto wao basi jua huna utajo mwema wa muda mrefu.
hakuna kitu kibaya kama madawa ya kulevya ambayo tunapoteza watu na vijana kwa sababu hii moja wapo na tanzania tumeona madhara yake japo yana pesa.
neno langu ni kwamba wauza unga wote mfano wa dada masogange vifo vyao haitakuja kudumu kabisa na watasahaulika kama kuna watu walikuwa wao kutokana na kufa katika umaarufu ambao wakati hajafa wwngi walikuwa wanaufanya..
sina bifu na mtu lakini tambueni tu muuza unga yeyote atakufa kifo cha kufedhehesha na kusahaulika mara moja kutokana na kufanya ufisadi wake wa unga na kuharibu jamii ya watu wengi.
povu ruksa
Mi uhakika nautoa wapi, wakati wewe ndio umeongea habari za ukimwi! Kwani mpaka leo kifo cha ukimwi kinakutatiza?Una uhakika amekufa kwa ukimwi.
Maana yangu tusipende kujaji vifo vya watu na magonjwa yao.
NANI MZIMA?
Hakuna taarifa sahihi,kila mtu anasema lake.ushaambiwa alikuwa anaumwa sasa unatka chanzo gani tena wakati taarifa tayari
Marehemu atajwe kwa mazuri yake, na aachwe huru kwa madhaifu yake kwa kuwa MwenyeziMungu ndiye ataamua hatma yake huko aendako.Tabia mbaya kumsema marehemu
Anasubiri apike story...dada wa taifa keshasema atatoa mkanda mzima wa kifo baada ya tarehe 26/04
Aghhh nae huyo akwendee hukodada wa taifa keshasema atatoa mkanda mzima wa kifo baada ya tarehe 26/04
Kabisa, kila ana madhaifu yake tumuachie Mungu ndiye ajuae zaidiMarehemu atajwe kwa mazuri yake, na aachwe huru kwa madhaifu yake kwa kuwa MwenyeziMungu ndiye ataamua hatma yake huko aendako.