GE2025 Agnesta Kaiza: Wananchi wa Segerea naombeni mnijaribu kwa miaka 5

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
wanaosema mpo tayari kunipa miaka mitano tena ya majaribio, nijaribuni kwa miaka mitano mimi na Shukuru (mgombea Udiwani kata ya Minazi mirefu) ni kwa sababu sisi tunaamini changamoto za wananchi wa Miti mirefu zinapaswa kutangulia maslahi yetu yanapaswa kufuata nyuma"

Hayo ameyasema Agnesta Kaiza, Mgombea Ubunge wa jimbo la Segerea kupitia Chama Cha ukombozi wa Umma, leo Septemba 11, akizindua kampeni za mgombea Udiwani wa kata ya Minazi Mirefu kupitia chama hicho.

YUle dada/ mama mwenye shape yake mgombea kupitia chama cha kijani kwenye hilo jimbo anaitwa nani vileee ?
 
Huyu si alikua mbunge miaka 5 alifanya nini hapo Segerea? Sasa wanamjaribu kwa lipi tena wakati inapaswa atolee hesabu huo ubunge wa viti maalum alifanya nni
 
Viti maalum kwa chama kipi?
 
wanaosema mpo tayari kunipa miaka mitano tena ya majaribio, nijaribuni kwa miaka mitano mimi na Shukuru (mgombea Udiwani kata ya Minazi mirefu) ni kwa sababu sisi tunaamini changamoto za wananchi wa Miti mirefu zinapaswa kutangulia maslahi yetu yanapaswa kufuata nyuma"

Hayo ameyasema Agnesta Kaiza, Mgombea Ubunge wa jimbo la Segerea kupitia Chama Cha ukombozi wa Umma, leo Septemba 11, akizindua kampeni za mgombea Udiwani wa kata ya Minazi Mirefu kupitia chama hicho.

Atamshinda kweli mchepuko wa Bashe?
 
Back
Top Bottom