Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Alifuta jina la mumewe kwa amri ya mahakama sijui sasa hivi anaitwa Bona naniYUle dada/ mama mwenye shape yake mgombea kupitia chama cha kijani kwenye hilo jimbo anaitwa nani vileee ?
Bona kaluwa kwa sasa Bona KimoriYUle dada/ mama mwenye shape yake mgombea kupitia chama cha kijani kwenye hilo jimbo anaitwa nani vileee ?
Viti maalum kwa chama kipi?Huyu si alikua mbunge miaka 5 alifanya nini hapo Segerea? Sasa wanamjaribu kwa lipi tena wakati inapaswa atolee hesabu huo ubunge wa viti maalum alifanya nni
Alikua mmoja wa Covid 19 kupitia chadema!!Viti maalum kwa chama kipi?
Dah sasa itakuajeAlikua mmoja wa Covid 19 kupitia chadema!!
Segerea lipo kwenye majimbo ya mkataba wa CCM na Chaumma so atapewa Agnesta, ila huyo Bonna atapewa u-DC!!Dah sasa itakuaje
Atamshinda kweli mchepuko wa Bashe?wanaosema mpo tayari kunipa miaka mitano tena ya majaribio, nijaribuni kwa miaka mitano mimi na Shukuru (mgombea Udiwani kata ya Minazi mirefu) ni kwa sababu sisi tunaamini changamoto za wananchi wa Miti mirefu zinapaswa kutangulia maslahi yetu yanapaswa kufuata nyuma"
Hayo ameyasema Agnesta Kaiza, Mgombea Ubunge wa jimbo la Segerea kupitia Chama Cha ukombozi wa Umma, leo Septemba 11, akizindua kampeni za mgombea Udiwani wa kata ya Minazi Mirefu kupitia chama hicho.
Sijaelewa atapewa u-DC vipi tena mkuu?Segerea lipo kwenye majimbo ya mkataba wa CCM na Chaumma so atapewa Agnesta, ila huyo Bonna atapewa u-DC!!
Bonah KamoliAlifuta jina la mumewe kwa amri ya mahakama sijui sasa hivi anaitwa Bona nani
Sawa sio kaluwa tenaBonah Kamoli
Ana mume wa ndoa kwa sasa? , nataka nimstili kama yupo single ili tuwe albumBona kaluwa kwa sasa Bona Kimori
Huwa ananifanya nivunje amri ya 9Alifuta jina la mumewe kwa amri ya mahakama sijui sasa hivi anaitwa Bona nani
Chuma ya fundi wa kilimo,BasheAna mume wa ndoa kwa sasa? , nataka nimstili kama yupo single ili tuwe album