Agosti 18, 2025, UPDATES: Kesi ya Lissu ya Uhaini kuanza kusikilizwa Mahakama Kuu

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu.

Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo zitajuzwa na Msajili wa Mahakama kuhusu terehe itakayopangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ikiwa ni baada hatua za kisheria zilizokuwa zinapelekea shauri hilo kuwa chini Mahakama ya Kisutu kukamilika.

Aidha Hakimu amesema kulikuwepo na upotoshaji pamoja na baadhi ya Watu kudhani kwamba Kesi hiyo ilikuwa ikisikiliza rasmi kwenye Mahakama hiyo. Ameeleza kuwa imekuwa ilikuwa ikitajwa kwenye Mahakama hiyo wakati ambao Jamhuri walikuwa wanakamilisha ushahidi.

Mashahidi wengi wamewekwa kuthibitisha kama Lissu alisema maneno:: "tutakinukisha" na tutafanya uasi".Lakini Lissu amekiri kutamka hayo maneno.
Kwa hiyo,mashahidi wanatakiwa wapungue.
 
Ni jambo jema.
 
swali muhimu la kujiuliza kukinukisha ni nn pili uasi ni nn
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu.

Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo zitajuzwa na Msajili wa Mahakama kuhusu terehe itakayopangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ikiwa ni baada hatua za kisheria zilizokuwa zinapelekea shauri hilo kuwa chini Mahakama ya Kisutu kukamilika.

Aidha Hakimu amesema kulikuwepo na upotoshaji pamoja na baadhi ya Watu kudhani kwamba Kesi hiyo ilikuwa ikisikiliza rasmi kwenye Mahakama hiyo. Ameeleza kuwa imekuwa ilikuwa ikitajwa kwenye Mahakama hiyo wakati ambao Jamhuri walikuwa wanakamilisha ushahidi.

Too late
 
Nchi inadhalilishwa na ka kikundi kadogo ka wana mtandao wa CCM - Hii tusikubali kabisa watanganyika.
Wa wazi bado wa kificho
 
Attachments

  • FB_IMG_1755429364634.jpg
    FB_IMG_1755429364634.jpg
    23.8 KB · Views: 39
Back
Top Bottom