Agosti 18, 2025, UPDATES: Kesi ya Lissu ya Uhaini kuanza kusikilizwa Mahakama Kuu

Agosti 18, 2025, UPDATES: Kesi ya Lissu ya Uhaini kuanza kusikilizwa Mahakama Kuu

swali muhimu la kujiuliza kukinukisha ni nn pili uasi ni nn

Kukinukisha ni kuzuia uchaguzi usifanyike

Uasi ni kwenda kinyume na mipango ya serikali

All in all Lissu aliongea maneno hayo kama ufafanuzi wa madai ya G55 waliokuwa wanadai kuzuia uchaguzi ni uasi.
 
Aisee siasa Tanzania ina informal power kushinda mihimili yote
Just imagine hii si ni attack against justice system ya nchi?
 
Mashahidi wengi wamewekwa kuthibitisha kama Lissu alisema maneno:: "tutakinukisha" na tutafanya uasi".Lakini Lissu amekiri kutamka hayo maneno.
Kwa hiyo,mashahidi wanatakiwa wapungue.
Tuwe wapole kesi ipo Mahakamani uko ndio tutajua mbivu na mbichi,,
 
Mtu akiwa rais kwa katiba yetu hii, anarubusiwa kuua, kubambikia watu kesi, kuteka na kutukana lkn hafanywi kitu.
Unaushaidi ya kile ulichoandika au umeandika kutoa povu la chuki dhidi ya Rais wetu kipenzi chetu.
 
Nchi inadhalilishwa na ka kikundi kadogo ka wana mtandao wa CCM - Hii tusikubali kabisa watanganyika.
Tanganyika na Zanzibar zimeungana miaka mingi kwasasa kuongelea utanganyika ni chuki zenu!!

bahati mbaya nyinyi ndio kagenge cha watu wachache sana mitandaoni mnaonekana kuwa na chuki dhidi ya kiongoz wa nchi chuku zenu za kishamba.

endeleeni kuugua uyo uyo mnaemchukia kawaandalia uduma nzuri ya HOSPITAL

kwaiyo endeleeni kuugua mtatibiwa na kupona. mpaka chuki ziwaishe.
 
Back
Top Bottom