Nchi inadhalilishwa na ka kikundi kadogo ka wana mtandao wa CCM - Hii tusikubali kabisa watanganyika.Jamii imepooza sana,
Do you have any professionalism?Kajivua Gamba nampa hongera huyo hakimu all i see is lack of professionalism.
Mashahidi wengi wamewekwa kuthibitisha kama Lissu alisema maneno:: "tutakinukisha" na tutafanya uasi".Lakini Lissu amekiri kutamka hayo maneno.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu.
Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo zitajuzwa na Msajili wa Mahakama kuhusu terehe itakayopangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ikiwa ni baada hatua za kisheria zilizokuwa zinapelekea shauri hilo kuwa chini Mahakama ya Kisutu kukamilika.
Aidha Hakimu amesema kulikuwepo na upotoshaji pamoja na baadhi ya Watu kudhani kwamba Kesi hiyo ilikuwa ikisikiliza rasmi kwenye Mahakama hiyo. Ameeleza kuwa imekuwa ilikuwa ikitajwa kwenye Mahakama hiyo wakati ambao Jamhuri walikuwa wanakamilisha ushahidi.
Ni jambo jema.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu.
Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo zitajuzwa na Msajili wa Mahakama kuhusu terehe itakayopangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ikiwa ni baada hatua za kisheria zilizokuwa zinapelekea shauri hilo kuwa chini Mahakama ya Kisutu kukamilika.
Aidha Hakimu amesema kulikuwepo na upotoshaji pamoja na baadhi ya Watu kudhani kwamba Kesi hiyo ilikuwa ikisikiliza rasmi kwenye Mahakama hiyo. Ameeleza kuwa imekuwa ilikuwa ikitajwa kwenye Mahakama hiyo wakati ambao Jamhuri walikuwa wanakamilisha ushahidi.
Yes Nigga I have it .Do you have any professionalism?
swali muhimu la kujiuliza kukinukisha ni nn pili uasi ni nnMashahidi wengi wamewekwa kuthibitisha kama Lissu alisema maneno:: "tutakinukisha" na tutafanya uasi".Lakini Lissu amekiri kutamka hayo maneno.
Kwa hiyo,mashahidi wanatakiwa wapungue.
We already know credentials of of His Magistrate Kiswaga. Can we know about yours please so that we prove it?Yes Nigga I have it .
Hit my PM (Private Message)We already know credentials of of His Magistrate Kiswaga. Can we know about yours please so that we prove it?
With best regards!
Ahahahahaha! I never go there. We started publicly let's finish it here! But, I'll respect your decision! Ahahahahaha!!Hit my PM (Private Message)
Too lateMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu.
Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo zitajuzwa na Msajili wa Mahakama kuhusu terehe itakayopangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ikiwa ni baada hatua za kisheria zilizokuwa zinapelekea shauri hilo kuwa chini Mahakama ya Kisutu kukamilika.
Aidha Hakimu amesema kulikuwepo na upotoshaji pamoja na baadhi ya Watu kudhani kwamba Kesi hiyo ilikuwa ikisikiliza rasmi kwenye Mahakama hiyo. Ameeleza kuwa imekuwa ilikuwa ikitajwa kwenye Mahakama hiyo wakati ambao Jamhuri walikuwa wanakamilisha ushahidi.
Wa wazi bado wa kifichoNchi inadhalilishwa na ka kikundi kadogo ka wana mtandao wa CCM - Hii tusikubali kabisa watanganyika.
Wote sio wazawa (ukimwondoa bro).Wa wazi bado wa kificho