swali muhimu la kujiuliza kukinukisha ni nn pili uasi ni nn
Tuwe wapole kesi ipo Mahakamani uko ndio tutajua mbivu na mbichi,,Mashahidi wengi wamewekwa kuthibitisha kama Lissu alisema maneno:: "tutakinukisha" na tutafanya uasi".Lakini Lissu amekiri kutamka hayo maneno.
Kwa hiyo,mashahidi wanatakiwa wapungue.
Kesi ipo mahakamani tuwe wapole.Wa wazi bado wa kificho
Unaushaidi ya kile ulichoandika au umeandika kutoa povu la chuki dhidi ya Rais wetu kipenzi chetu.Mtu akiwa rais kwa katiba yetu hii, anarubusiwa kuua, kubambikia watu kesi, kuteka na kutukana lkn hafanywi kitu.
Tanganyika na Zanzibar zimeungana miaka mingi kwasasa kuongelea utanganyika ni chuki zenu!!Nchi inadhalilishwa na ka kikundi kadogo ka wana mtandao wa CCM - Hii tusikubali kabisa watanganyika.
Ila wafuasi wa Lissu ni wapumbavu sana ππππ kajivua gamba wakati ni utaratibu wa Kisheria?Kajivua Gamba nampa hongera huyo hakimu all i see is lack of professionalism.