Umeshinda ukiongelea ukulima na biashara.... kila unapo andika lazma useme leteni pesa.........
alafu nakuletea takwimu, unazitupilia mbali u atuekea mapicha ya holland, haha,..... kumbe hata si mkulima wala mwanabiashara, hujui A wala B kwa mambo ya ukulima, uko hapa kujifarijibele ya wakenya tu, wala haujali kilimo,...waltham alikua anaeka post zake vizuri sana, zilikua informative, zilikua na maelezo,recomendation,best practices...mkulima halisi atakua more interested in those exchanges in best practices plus actual pictorial evidence.... wakati wewe hata ulikua hauoni aibu kutuekea screen saver za kutoka holland -a first world country where the cost of agriculture is very cheap, the soil is different, the weather is completely different.........
sawa ntaendelea kukuletea takwimu, maanake kama ulikua haujui takwimu na hesabu ni muhimu sana kwa kilimo-biashara.... mkulima mtanzania akiona hizo takwimu na ajue kenya inauzia chakula kingi zaidi UN kuliko kile wanacho nunua toka Tz, anaeza amua kuongea na UN yenyewe (to skip the middlemen na auzie chakula directly ili faida yote aipate yeye) maanake chakula hicho kinauziwa UN hutumiwa kulisha refugees hapa kenya, msaada somali, s.sudan na hata DRC ambayo iko karibu yenu huko Tz.
Mkulima wa maua tanzania akipata takwimu za 2013, atagundua huo mwaka, tanzania ili produce maua mengi kuliko kenya (sababu ya general election jitters huku kenya) lakini kenya bado ilipata faida nyingi zaidi, sababu pale JNIA hakuna storage refregiration facilities za kutosha, tena ndege za cargo sio nyingi pamoja na shida zengineo za logistics, kwahivyo maua yakisafitishwa kupitia hio njia ya JNIA, by the time yamefika ulaya hua yamenyauka........... sasa mkulima mtz akiwa na hio takwimu anajua shida si mazao, shida ni logistics haswa pale JNIA....unaona vile takwimu zinasaidia?????? haya we tubandikia mapicha ujifurahishe