Ahaa! Kumbe wanatumia ripoti ya CAG kukamilisha ajenda yao!!!! Mama usiyumbishwe

Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Dawa yenu nyie ni lisasi tu Wala sio kujibizana jibizana kwa maneno ni lisasi za kichwa tu
 
Sexless ....hata jina la jf linaonyesha ulivyo ni kama vitoto vya International school of Moshi au St Constantine , back 2010's a/c dept , niliwahi kumuita mtoto wa kiume boy kidogo nipoteze ajira kumbe katoto parachichi ,papai kabisa.😁😁😁😁
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Wewe ni hasara Kwa Taifa
 
Dawa yenu nyie ni lisasi tu Wala sio kujibizana jibizana kwa maneno ni lisasi za kichwa tu

Binafsi naamini watu wa aina hii ndio wa kuanza kuwashughulikia kwanza kabla ya hao viongozi mafisadi,..kamwe viongozi mafisadi hawataogopa kitu kama kuna wajinga wajinga kama hawa kwenye jamii wanachekewa au kuchukuliwa poa
 
Madudu mengi yaliyoibuliwa na CAG ktk hii ripoti yalifanyika awamu ya 5. Mfano mpango wa vyura kulelewa kwa shiling bilioni 6 huko US ulisainiwa na kuridhiwa na Kalemani
Toa hayo mavi kichwani weka ubongo dada
Screenshot_20230329-152212_Telegram.jpg
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Ewe mpayuka ovyo, Prof Asad aliondolewa kwa nafasi yake na hao hao waliomfanyia vetting, Dkt Magufuli hahusiki kabisa tena hahusiki. Prof Asad alivuka miiko ya viapo vya utumishi wa umma hivyo akakosa sifa kwa ujinga wake wa kuwa fundamentalist. Hivyo acha kupotosha. Kuhusu ufisadi, kipindi cha Dkt Magufuli siyo kwamba wezi waliisha hapana, walinadili mbinu (kama unavyowajua watanzania walivyo na PhD za wizi), ila kwa rais Dkt Samia wamejiachia kwa sababu yeye alileta Umama na akakubali kuitwa Mama anaupiga mwingi wahuni wanatokea hapo hapo! Hivyo Rais Samia naamini atafanya zaidi ya Dkt Magufuli na hilo lipo wazi. Wanasema siku zote ukimchokoza simba aliyelala akiamka ni balaa. So stay tuned Rais Dkt Samia very soon ataibuka kivingine mpaka tutambatiza kama mtumbuaji namba mbili.
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Watanzania wajinga kama wewe ndo mnaosababisha tuendelee kuibiwa.
JamiiForums-967246791.jpg
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Wewe unafanyakazi Halmashauri gani?
 
Jiite mimi mbwa koko mkuu
 
Unaweweseka mnoo..!!
Yupo mtu kati, waonyesha njia wake wamekula chakula cha nyuki, wake chakula hicho kimetoka kwenye Mzinga ambao unamilikiwa na yule asiye Mtaka!!! Sasa kichwa kimepata moto!!!

Msamehe tu Bure.
 
Back
Top Bottom