Ahaa! Kumbe wanatumia ripoti ya CAG kukamilisha ajenda yao!!!! Mama usiyumbishwe

Ahaa! Kumbe wanatumia ripoti ya CAG kukamilisha ajenda yao!!!! Mama usiyumbishwe

Kama kipindi Cha J.p.m Kuna hizo hela ziliibwa kama anavyo dai je alizuiliwa kuhoji aweke ushahidi apa
Ache upimbi wake
Umesahau kuwa alikuwa anateka, anaua, anapiga watu risasi na anapora watu?? Nani angethubutu kuhoji???
 
Bora hata magufuli alifukuza watu nyie mpaka Leo mmemuonya hata mtu mmoja?
Mbona hakujifukuza yeye mwenyewe? MwiI namba moja alikuwa yeye jiwe, maana aliiba 1.5trilioni.
 
Hata bilioni 6 za vyura alizo saini Kalemani wakati Rais Magufuli mwaka 2020 wanajaribu kumuangushia January na Samia..
Mchezo huu tumestukia mapema..
CAG ripoti inasema huo mkataba umesainiwa mwaka 2020...wao hawamgusi Kalemani kabisa
Chawa wa Mama mtetezi wa dini😂😂😂😂😂
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Jiwe alikuwa muuaji na mwizi
 
Nenda Chato ukaone viwanja vya ndege, viwanja vya gofu, taa za barabarani/mashambani, maghorofa ya mahotel, mbuga za wanyama za kulazimisha na majumba yasiyo na kazi yalivyosiamama huko. Alitaka kukibadilisha Kijiji cha Chato kuwa jiji
Kwani anayefaidika hapo ni nani?
 
Toa ripoti yako ya upotevu wa 1.5 trilioni tuujadili.
 
Kwa watu wa Aina yako ndio mnafanya Africa iwe maskini na kuendelea kuwa maskini

Wenzako wamepiga Mahela kibao ww unatetea ujinga tu

Bora hata magufuli alifukuza watu nyie mpaka Leo mmemuonya hata mtu mmoja?

Always wizi unarudisha maendeleo ya inchi Acha kutetea ujinga

Magu ameshakufa 2yrs now, nyie kila siku mnaleta story za magu tu
Huyo Magufuli Wako Alifukuza Asiowapenda.

Magufuli Ndiyo Rais Pekee Katika Nchi Yetu Aliyeongoza Kwa Kuiba Pesa Nyingi.1.5 Trilion Siyo Kidogo Haijawahi Tokea Toka Tanzania Imekuwa Nchi Huru.

Bila Kusahau Genge La Majambazi Yakunyanganya Watanzania Pesa .

Utekaji .Na Uuwajj.
 
Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!
Kwahyo hivi ndivyo vilikuwa vipaumbele vya huyo mama yenu alipokabidhiwa kijiti kutuongoza kama rais?

Saiv sukuma gang kimekuwa ndo kichaka cha kujifichia watu wakihoji issue sensitive za kitaifa. Kwani CAG alitumwa na Sukuma gang kuibua huo ufisadi wenu?

Yaani mnaiba halafu bado mnapata nguvu ya kuja kutunanga aisee! Hivi unajua nyie jamaa mnadharau sana?!

Yaani mnaona 'Kuwafanya wapinzani kuwa ndugu' ni achievment kuubwa sana kwa kiongozi wa nchi kiasi cha kuacha sasa watu wajilie pesa ya umma watakavyo?!..Mapinzani nayo kama majinga😒
 
Sababu nyingine ya kufanya Jpili ya leo Nivute kaya siku nzima huku nikisikiliza hotuba za hayati Jiwe JPM kiboko ya wahuni na mafisadi wa Taifa hili.
Jiwe alimfunga fisadi gani wa nchi hii zaidi ya kubambikiza watu kesi za uhujumu uchumi? Kamuulize MO yaliyomkuta
 
Back
Top Bottom