hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Huyo Magufuli Wako Alifukuza Asiowapenda.
Magufuli Ndiyo Rais Pekee Katika Nchi Yetu Aliyeongoza Kwa Kuiba Pesa Nyingi.1.5 Trilion Siyo Kidogo Haijawahi Tokea Toka Tanzania Imekuwa Nchi Huru.
Bila Kusahau Genge La Majambazi Yakunyanganya Watanzania Pesa .
Utekaji .Na Uuwajj.
Sema serikali iliiba na sio magufuli
Sijui kama unamjua makamu wake wa Rais na waziri wake wa fedha?