Ahaa! Kumbe wanatumia ripoti ya CAG kukamilisha ajenda yao!!!! Mama usiyumbishwe

onesha ushahidi wa mali yoyote kaacha huyo marehemu yenye nusu thaman ya 1.5B
Nenda Chato ukaone viwanja vya ndege, viwanja vya gofu, taa za barabarani/mashambani, maghorofa ya mahotel, mbuga za wanyama za kulazimisha na majumba yasiyo na kazi yalivyosiamama huko. Alitaka kukibadilisha Kijiji cha Chato kuwa jiji
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Unaunafiki SANA wewe. Utakumaliza
 
Mkuu
Endelea kusaka danga kule

Huku tuachie madanga turaruane kwa hoja
Hujajibu hoja . Jukwaa hili ni la watu wenye bongo (GT). Kama umezidiwa uwezo na hoja bakia Facebook kwa wenzio
 
Tunisia na ripoti ya CAG vimeingiaje?
We ni msomi kweli?
CAG anasema mkataba WA vyura Marekani umesainiwa mwaka 2020..
Wewe Hilo nalo utapinga?..
Wewe utahamia wapi?au wewe Una haki zaidi ya kuhamisha wengine ??
Selective outrage sio kitu kipya
tupo hapa kukemea baya lolote sio kumteta mtu , kuna watu wa karibu yenu ubong ukaribia wa znjnthropus , unatetea mtu kisa anamchukia usie mpenda ila huangalii mabaya yake TAKATAKAAA KBS
 
Unaunafiki SANA wewe. Utakumaliza
Twende kwa hoja. Hivi nani mnafiki kati yangu mm na ninyi mnaopanua vinywa vyenu hivi Sasa?

Jiwe alikwapua 1.5 trilioni , CAG wa wakati huo prof Assad akahoji, jiwe akamfuta kazi. 1.5 trilioni ni hela nyingi Sana. Kama kweli mna uchungu na fedha za umma kwann hamkuqndamana kumuondoa fedhuli jiwe madarakani?

Hivi Sasa 90% ya uozo uliobainishwa na CAG wa Sasa mizizi yake ni utawala wa jiwe. Mfano bilioni 6 za kulea vyura US ziliidhinishwa na Kalemani wakati wa jiwe. Kwann mnapiga kelele sasa?
 
Kama hamkufanya hivyo kwa jiwe aliyeiba mwenyewe 1.5 trilioni na kumfukuza prof. Assad kwa kuziweka kwenye ripoti, hamna uhalalli wa kupiga kelele hivi Sasa. Mnaonekana wanafiki mliojaqa chuki binafsi.
Pekua huko nyuma uone, mimi nilikuwa critique Kwa kila Rais, ila watu kama nyie mnaangalia affiliation na viushungi vyenu
 
Hata bilioni 6 za vyura alizo saini Kalemani wakati Rais Magufuli mwaka 2020 wanajaribu kumuangushia January na Samia..
Mchezo huu tumestukia mapema..
CAG ripoti inasema huo mkataba umesainiwa mwaka 2020...wao hawamgusi Kalemani kabisa
Nimebishana na watu vibaya mno. Mkataba uliingiwa wakati wa Mkapa. Uliisha wakati wa Magufuli. Kwa Nini hakuwarudisha hao vyura? Ditto James kama mlipaji mkuu wa serikali aliingia mkataba mwingine mwaka 2020 Juni. Makamba hakuwepo ila Leo kila mtu anamtwisha mzigo usiomhusu. Tuacheni unafiki. Braza anajua na nyota anayo pamoja na bahati. Usiulalie mlango wazi maana utapitiwa na usingizi.
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Wewe acha mapepe yako Mama kashachukua hatua kawaita "stupid".
Kazi iendelee
 
Hujamlizia mama kaiba fedha za watanzania
 
Duh! Kwa hiyo kitu kama "over invoicing" ya manunuzi ya ndege ya mzigo kutoka 57 $mil hadi 86 $ mil, tunyamaze kwa sababu Sukuma gang nao wanaipigia kelele.! Kwa hiyo nchi nzima tunyamaze kwa point za kijinga kama hizi!

Hapa unamtetea nani?
Tusipokuwa makini awa wajinga watatumaliza kwa kwa hoja zao dhaifu kuwa Kila anaehoji kitu Cha serikali ni Sukuma gang

Kama kipindi Cha J.p.m Kuna hizo hela ziliibwa kama anavyo dai je alizuiliwa kuhoji aweke ushahidi apa
Ache upimbi wake
 
Hata bilioni 6 za vyura alizo saini Kalemani wakati Rais Magufuli mwaka 2020 wanajaribu kumuangushia January na Samia..
Mchezo huu tumestukia mapema..
CAG ripoti inasema huo mkataba umesainiwa mwaka 2020...wao hawamgusi Kalemani kabisa
Mtu kama wewe ukiwa Chawa basi naamini asali ni tamu.

Wakongwe wote wa JF wanajua vyura wa kihansi walipelekwa lini Marekani.

Nakushangaa.

Na umeona ufisadi huo tu?
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Wewe nae chenga tu siku hizi

Kwa hiyo tuendelee kuibiwa huku tukitozwa tozo kubwa kubwa?
 
Hizi hela zinaikaribia 1.5 trilioni? Zilipokwapuliwa 1.5 trilioni na jiwe mlipaswa kuandamana na kumuondoa madarakani.

Kama hamkufanya hivyo kwa jiwe aliyeiba mwenyewe na kumfukuza prof. Assad kwa kuziweka kwenye ripoti, hamna uhalalli wa kupiga kelele hivi Sasa. Mnaonekana wanafiki mliojaqa chuki binafsi.
We kipindi hicho ulikuwa wapi mbona hukuandamana au kulalamika kuwa umeibiwa hela
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!

Kwa watu wa Aina yako ndio mnafanya Africa iwe maskini na kuendelea kuwa maskini

Wenzako wamepiga Mahela kibao ww unatetea ujinga tu

Bora hata magufuli alifukuza watu nyie mpaka Leo mmemuonya hata mtu mmoja?

Always wizi unarudisha maendeleo ya inchi Acha kutetea ujinga

Magu ameshakufa 2yrs now, nyie kila siku mnaleta story za magu tu
 
Pekua huko nyuma uone, mimi nilikuwa critique Kwa kila Rais, ila watu kama nyie mnaangalia affiliation na viushungi vyenu
Hapana. Mama huyu hakuna haja ya kumkemea, kumzodoa ama kumtisha. Ni msikivu sana. Hivyo tumpe ushauri wa maana ataufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom