Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??
Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?
Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.
Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!
Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.
Nimemaliza!