Ahadi ya billioni moja kwa wachezaji Yanga yawatisha Al Hilal, ya Vipers yawapa wazimu

Alietoa hiyo billion 1 kashajua kabisa Yanga hata akipewa trillion 3 bado kichapo hawawezi kukikwepa ndo maana Hana mashaka na hela yake iko salama
Sishangai maana nchi imefunguka,Gsm ndo wafalme wa bahari
 
Utoe 1B kwa wachezaji endapo wataweza kuvuka

Wakati huo makundi unapewa hiyo hiyo 1B

Mbona hesabu kama zinagoma?

Anyway hiyo 1B naiona kama picha ya samaki tu
Scars mbona nakuamini Sana? Yaani unaweza kutoka na kuamini Taarifa ya mchuma janga?
 
🤔🤔🤔
 
 
Biashara isiyo na faida hiyo....[emoji28][emoji28].
 
Biashara isiyo na faida hiyo....[emoji28][emoji28].
 
Hamna hesabu km hizo kwenye mpira la sivyo mhindi tungekuwa tunampiga Sana kwenye mikeka...eti kwakuwa vipers kawafunga yanga 2 na kawafunga tp mazembe 3 basi Nye Nye nye yanga wapo vzuri [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…