Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Iran hoiiiiiiiii..... Ritz alikuwa anakuja na vinyuzi vyake uchwara... Mara imepandisha bendeera nyekundu, mara imesema itaifuta Israel. Israel bado ipo mpaka leo na inaendelea kusambaza kichapo kwa magaidi wa Kipalestina.
Iran haijatimiza ahadi yake... Imejichokea kiasi Rais anaomba wananchi wasiwashe taa nyingi kubana matumizi. Hali ya Iran ya sasa si ile ambayo tuliaminishwa miezi miwili ago.
Watetezi wake tumechoka. Tumegundua ni wachovu tu walikuwa na maneno ya kishujaa lakini utendaji hakuna la maana.
Ule ukanda Iran ilikuwa inaonekana kama Taita kuuuubwa sana. Sasa Israel inaingia Iran inajipigia inaondoka. Iran ilirusha rusha mabomu kwa sasa hata hamu haina. Waulize wana ndege ngapi kwa sasa.
Jamaa wamerudishwa nyuma sana. Trump ni mshenzi sana. Amefanya jambo ambalo wenzie wengi hawakutaka kufanya. Kimvunja miguu Irani na mikono. Sasa Iran amekuwa mlemavu. Anattembea kwa magongo na kutishia watu kwa kutoa macho na kutukana aki swing magongo yake.