Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Hahaaa.. KweliYesu Mwenyewe mpaka keshokutwa yupo kwa Baba yake .
Kwanza Duniani tunapita .... Tusipeane stress
[emoji28][emoji28][emoji28]
Ulichelewa mno Kuna dogo langu alihamia kwake akiwa na 19yrs old na aliishia la tano Ila ana hela chafu. Hapo unasemajeHongera sana. Nimejenga nyumba nikiwa na 28 years old. Kuna nyingine naomba niinalize kabla sijavuka hiyo 35 years old. Mungu ni Mwema maisha ni mipango. .
π π π Nakuambia nyumba si itakuja tu kwanini tuforce jamani?Hahaaa.. Kweli
Mkuu mkianza kushindana au kulinganisha vitu, basi mtakuwa mnakosea Sana.Ulichelewa mno Kuna dogo langu alihamia kwake akiwa na 19yrs old na aliishia la tano Ila ana hela chafu. Hapo unasemaje
Ya nini tujenge njiani wakati duniani tunapita tuπYesu Mwenyewe mpaka keshokutwa yupo kwa Baba yake .
Kwanza Duniani tunapita .... Tusipeane stress
π π π
Nyumba ni heshima, na ni kitegauchumi kizuri, ukiwa na nyumba ya wapangaji unakula kodi mpaka unakufaHongera sana. Nimejenga nyumba nikiwa na 28 years old. Kuna nyingine naomba niinalize kabla sijavuka hiyo 35 years old. Mungu ni Mwema maisha ni mipango. .
Tutaenda kujenga mbinguni nyumba za kudumu π π πYa nini tujenge njiani wakati duniani tunapita tuπ
Yes hata hapa sowazi kodi. Unakuta mda wa kodi ukifika mtu anachanganyikiwaNyumba ni heshima, na ni kitegauchumi kizuri, ukiwa na nyumba ya wapangaji unakula kodi mpaka unakufa