Ahadi ya kujenga nyumba yangu ya kuishi kabla ya miaka 35 imetimia

Niliweka nadhiri kwamba kabla ya kufikisha miaka 35 hapa duniani lazima niwe nimejenga nyumba yangu na nimehamia kwangu, ndoto hii imetimia tarehe 23/2 nimehamia kwangu na kila nikiamka asubuhi nazunguka na taulo kiunoni nyumba nzima huku nikipiga mswaki na kufokafoka.

Wale mnaosema kujenga ni kuzika pesa endeleeni kubanana na wahindi kwenye kota za chumba na sebule na joto hili kali la Dar ni shida tu.

Kwa heri upangaji na sasa karibu mashambulizi ya kwenye biashara.
Hongera sana lakini muombe Mungu akupe hekima wakati wa kuzungumza na wakati wa kuwasikiliza watu wengine
 
Hongereni sana wote mlio fanikisha kujenga nyumba before 30yrs. Kweli nyie ni wababe.
 
Niliweka nadhiri kwamba kabla ya kufikisha miaka 35 hapa duniani lazima niwe nimejenga nyumba yangu na nimehamia kwangu, ndoto hii imetimia tarehe 23/2 nimehamia kwangu na kila nikiamka asubuhi nazunguka na taulo kiunoni nyumba nzima huku nikipiga mswaki na kufokafoka.

Wale mnaosema kujenga ni kuzika pesa endeleeni kubanana na wahindi kwenye kota za chumba na sebule na joto hili kali la Dar ni shida tu.

Kwa heri upangaji na sasa karibu mashambulizi ya kwenye biashara.
Mbona umepanga tu ...umesahau kujenga nyumba yako mwenyewe.😁
 
Back
Top Bottom