kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Hivi kujenga nyumba ni kufanikiwa?!
Kufanikiwa ni kupata kile unachotamani kukipata
Kuwa tajiri ni kumiliki vitu vingi vya ghalama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kujenga nyumba ni kufanikiwa?!
Kila mtu na muda wake mimi nina 20 hata hela ya maji sina nategema wazazi 😁Ulichelewa mno Kuna dogo langu alihamia kwake akiwa na 19yrs old na aliishia la tano Ila ana hela chafu. Hapo unasemaje
Mie nilitoka kwao nikiwa 33.Kila mtu na muda wake mimi nina 20 hata hela ya maji sina nategema wazazi 😁
🤣🤣🤣🤣😢😢😢Mie nilitoka kwao nikiwa 33.
No formula mkuuDaaaah
🤣🤣🤣🤣😢😢😢
Uko sahihiKufanikiwa ni kupata kile unachotamani kukipata
Kuwa tajiri ni kumiliki vitu vingi vya ghalama.
Wewe je?Ulichelewa mno Kuna dogo langu alihamia kwake akiwa na 19yrs old na aliishia la tano Ila ana hela chafu. Hapo unasemaje
Mie bado na Nina miaka 74.Wewe je?
Mjomba wewe kwenye huu Uzi ulisema una miaka 68 Leo tena 74 aiseeMie bado na Nina miaka 74.
Sio lazima kujenga. Wazungu wanapanga kizazi na kizazi ,na bado wanatuzi mbali mno
ungetuambia namna ulivopambna na kuijenga iyo nyumba ili na sis tupate njia za kukufata mkuuNiliweka nadhiri kwamba kabla ya kufikisha miaka 35 hapa duniani lazima niwe nimejenga nyumba yangu na nimehamia kwangu, ndoto hii imetimia tarehe 23/2 nimehamia kwangu na kila nikiamka asubuhi nazunguka na taulo kiunoni nyumba nzima huku nikipiga mswaki na kufokafoka.
Wale mnaosema kujenga ni kuzika pesa endeleeni kubanana na wahindi kwenye kota za chumba na sebule na joto hili kali la Dar ni shida tu.
Kwa heri upangaji na sasa karibu mashambulizi ya kwenye biashara.
Kufokafoka hahaaaaNiliweka nadhiri kwamba kabla ya kufikisha miaka 35 hapa duniani lazima niwe nimejenga nyumba yangu na nimehamia kwangu, ndoto hii imetimia tarehe 23/2 nimehamia kwangu na kila nikiamka asubuhi nazunguka na taulo kiunoni nyumba nzima huku nikipiga mswaki na kufokafoka.
Wale mnaosema kujenga ni kuzika pesa endeleeni kubanana na wahindi kwenye kota za chumba na sebule na joto hili kali la Dar ni shida tu.
Kwa heri upangaji na sasa karibu mashambulizi ya kwenye biashara.
Watu wanambwembweKufokafoka hahaaaa
Kweli itakuwa hivyoMKOPO aliokopa kujenga ndio unamfanya afoke foke
Miaka yangu Iko inahesabika tofauti na binadamu ya kawaida kesho nitakuwa na 56Mjomba wewe kwenye huu Uzi ulisema una miaka 68 Leo tena 74 aisee
Mimi nimeweka nadhiri lazima niwe financially free by 34 years sasa ndio nipo 30Niliweka nadhiri kwamba kabla ya kufikisha miaka 35 hapa duniani lazima niwe nimejenga nyumba yangu na nimehamia kwangu, ndoto hii imetimia tarehe 23/2 nimehamia kwangu na kila nikiamka asubuhi nazunguka na taulo kiunoni nyumba nzima huku nikipiga mswaki na kufokafoka.
Wale mnaosema kujenga ni kuzika pesa endeleeni kubanana na wahindi kwenye kota za chumba na sebule na joto hili kali la Dar ni shida tu.
Kwa heri upangaji na sasa karibu mashambulizi ya kwenye biashara.
Your too late ,other was before 25.Niliweka nadhiri kwamba kabla ya kufikisha miaka 35 hapa duniani lazima niwe nimejenga nyumba yangu na nimehamia kwangu, ndoto hii imetimia tarehe 23/2 nimehamia kwangu na kila nikiamka asubuhi nazunguka na taulo kiunoni nyumba nzima huku nikipiga mswaki na kufokafoka.