Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Nina miaka 50, Januari 2023 nimefanikiwa kununua kiwanja.Mkuu mkianza kushindana au kulinganisha vitu, basi mtakuwa mnakosea Sana.
[emoji117]Kila mtu Ana jikuna ana poweza
[emoji117]Vipato vya watu havilingani
[emoji117]Kila mmoja ana malengo na vipaumbele vyake
Tusichekane, chanel za mkwanja hazifanani.