Ahadi ya kujenga nyumba yangu ya kuishi kabla ya miaka 35 imetimia

Ahadi ya kujenga nyumba yangu ya kuishi kabla ya miaka 35 imetimia

Bavaria hebu acha drama smt Ni masihara.
Ilo swali uliloniuliza Ni subjectivity or biasness ya mtu Hakuna objectivity
Nataka nijue kwa standards zenu hela chafu zianaanzia kiasi gani?

I need to be inspired.
 
Tofauti na mali zingine kila mtu atakujakuwa na nyumba ya milele wakuu.

Haina kufeli wanangu
 
Nataka nijue kwa standards zenu hela chafu zianaanzia kiasi gani?

I need to be inspired.
Unazingua ,mie sio si unit ya kuseti standard za hela chafu,kila mtu Anazo si unit zake.
We differ perception,how I worth like a person ,our thinking etc so Naona Kama unanichora.

Ama nikuambie kuwa hela chafu Ni alfu 70 utaweza kuwa inspired kweli
 
Hongera kwa bahati hiyo Mkuu tupe hayo mashavu na kina sie ambao hatujapata wa kutushika mkono kama ww..tunazeekea kwenye rent houses ingawa hatujakata tamaa
Usikate tamaa mkuu ipo siku utakuwa unachotamani kuwa kikubwa ni kuwa na ukaribu na connection za wadau tu.

Kiukweli sehemu mbili nilizopita kama mtu unakuwa makini zaidi unaweza kununua kiwanja chenye thamani ya milioni 6-10 kila mwezi maana madili ya hela yanakufata wewe kikubwa uwe risky taker tu.
 
Nje ya mada
Naomba kufahamu naona watu wengi wanaweka grill madirishani na milangoni kabla ya kupaua sabbu ni nn? Na je ni muhimu kufanya hivo au ni mapendekezo tu?
 
Nje ya mada
Naomba kufahamu naona watu wengi wanaweka grill madirishani na milangoni kabla ya kupaua sabbu ni nn? Na je ni muhimu kufanya hivo au ni mapendekezo tu?

Ni kwa usalama wa nyumba kama tayri umepitisha waya za umeme n bomba za maji. Na pia kuogopa watu wasifanye choo au gest wakakuachia nuksi zao. Pia kuna majilani wenye roho mbaya wanaweza kufukia ulozi wao.
 
Mkuu nilipomaliza tu form four nilipewa dili fulani bandarini kulikuwa na ndugu yangu pale upande wa uhasibu. Nikapiga pesa ya fasta then kuna rafiki yangu alikuwa na biashara ya spea za mabasi pale Ubungo terminal ilikuwa inalipa sana nikawekeza vijisenti kidogo nikapata faida ya fasta ndo nikafanye zoezi la ujenzi mkuu.

Baadae ndo nikaendelea na masomo yangu baada ya kuweka mazingira sawa. Kwa ufupi tu baada ya kutoka bandari nilipewa shavu jingine JNIA nikapiga piga kazi ndo nikaona niendelee na masomo mkuu.
unaakili sana.pesayako kubwa yakwanza ukiipata ukaichezeaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…aloo utakuja kujuta nakuona watu niwachawi.
 
Ni kwa usalama wa nyumba kama tayri umepitisha waya za umeme n bomba za maji. Na pia kuogopa watu wasifanye choo au gest wakakuachia nuksi zao. Pia kuna majilani wenye roho mbaya wanaweza kufukia ulozi wao.
Kumbe Asante na je ukiamua kuweka hivo ukiacha Kwa miez km nane bila kupaua Haina athari yoyote??
 
Namie nimemjibu kulingana na yeye alivyomjibu huyo jamaa. Mana Ni Kama amemuonyesha kuwa yeye alipata akiwa chini ya huo umri. Pia na kutoa funzo kuwa umri sio mafanikio. Kuna watu Wana hela kuzidi wazazi ama babu zake.
Wala sio mashindano mie Nina karibu miaka 68 na nipo kwenye upangaji nakaribia kurudi kijijini huko kwetu.
Kumbe forex haisaidii kabisa. Hadi leo huna kibanda
 
Back
Top Bottom