Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Atadownload...
Famchezo bila picha
Nilikuuliza umeona kina meghan wamenyang’anywa nyumba walopewa kwenye kasri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atadownload...
Wametolewa. Ujue jamaa akaenda kuchafua damu Safi na yenye akili na damu chafu ya kinasaba za kisokwe ,jamaa alizingua alistahili kuuliwa kabisa akaaibisha mno Koo ya kifalmeFamchezo bila picha
Nilikuuliza umeona kina meghan wamenyang’anywa nyumba walopewa kwenye kasri
Wametolewa. Ujue jamaa akaenda kuchafua damu Safi na yenye akili na damu chafu ya kinasaba za kisokwe ,jamaa alizingua alistahili kuuliwa kabisa akaaibisha mno Koo ya kifalme
Your highest level kabla hujaanza kufanya kazi.Form 4 miaka 18. Sasa sijajua umeuliza shule level gani labda darasa la saba, form six ama level gani mkuu.
Ila kama form four nimemaliza na miaka 18 hapo unaweza kufanya simple calculation la saba nilimaliza na miaka mingapi hadi chuo kama nilisoma miaka 3,4 ama 5.
Uko sawa mipango haifanani, mwingine anaamua awajengee wazee kwanza, au anyanyue ndugu zake kwanzaMkuu mkianza kushindana au kulinganisha vitu, basi mtakuwa mnakosea Sana.
👉Kila mtu Ana jikuna ana poweza
👉Vipato vya watu havilingani
👉Kila mmoja ana malengo na vipaumbele vyake
Mkuu nilipomaliza tu form four nilipewa dili fulani bandarini kulikuwa na ndugu yangu pale upande wa uhasibu. Nikapiga pesa ya fasta then kuna rafiki yangu alikuwa na biashara ya spea za mabasi pale Ubungo terminal ilikuwa inalipa sana nikawekeza vijisenti kidogo nikapata faida ya fasta ndo nikafanye zoezi la ujenzi mkuu.Your highest level kabla hujaanza kufanya kazi.
Imeisha kwa nje Ila bado ipo ndani ya mioyoni mwa watu Ni ngumu mno kuiondoa Mana binadamu ameumbwa na ego so anaishi Ni ngumu kuiondoaSasa mmewapa kitu mnakichukua tena
Ndio ishatokea mambo ya ubaguz wa rangi yashapitwa na wakati
Duh niliona my nikataka kureply nikawa tight tena hadi nikasahau!Famchezo bila picha
Nilikuuliza umeona kina meghan wamenyang’anywa nyumba walopewa kwenye kasri
Duh niliona my nikatakaku reply nikawa tight tena hadi nikasahau!
Eeh mwaego mshua kawanyang'anya geto, ila kawakaribisha kwenye coronation [emoji849]
Acha mambo ya kingese basi...kwahiyo we ni sokweWametolewa. Ujue jamaa akaenda kuchafua damu Safi na yenye akili na damu chafu ya kinasaba za kisokwe ,jamaa alizingua alistahili kuuliwa kabisa akaaibisha mno Koo ya kifalme
Aliyewapa ni bibi na bibi kasepaa Soo??[emoji849][emoji849]Sasa mmewapa kitu mnakichukua tena
Ndio ishatokea mambo ya ubaguz wa rangi yashapitwa na wakati
Ila sijui kama wanaenda hawa mweeh...wanadhalilishwa sana asee[emoji848]Ee nimeona wana visa
Hivi Nalendwa alipotelea wapi?
Inapendeza nini sasa na wewe? Ka robot vile[emoji57][emoji57]Inapendeza sana...
Inapendeza nini sasa na wewe? Ka robot vile[emoji57][emoji57]
Ningeshangaa kama siri ya mafanikio yako sio kupachikwa vitengo vyenye hela. 😀 😀 😀!Mkuu nilipomaliza tu form four nilipewa dili fulani bandarini kulikuwa na ndugu yangu pale upande wa uhasibu. Nikapiga pesa ya fasta then kuna rafiki yangu alikuwa na biashara ya spea za mabasi pale Ubungo terminal ilikuwa inalipa sana nikawekeza vijisenti kidogo nikapata faida ya fasta ndo nikafanye zoezi la ujenzi mkuu.
Baadae ndo nikaendelea na masomo yangu baada ya kuweka mazingira sawa. Kwa ufupi tu baada ya kutoka bandari nilipewa shavu jingine JNIA nikapiga piga kazi ndo nikaona niendelee na masomo mkuu.
We bora hata una mpango... Mie na miaka yangu hii 60 na ushee sina hata hilo wazo wala uwezo....Ningeshangaa kama siri ya mafanikio yako sio kupachikwa vitengo vyenye hela. [emoji3] [emoji3] [emoji3]!
Connection ni muhimu sana mi sijui hata nitajenga lini ila mpango huo upo panapo uhai. Wacha niendelee kula vichwa na hii Fekon yangu.
Ukute ramani ya nyumba iko kama madarasa...korido reefu huku na huku vyumba...maccm bwanaUnafoka peke yako au?
Tuoneshe picha za nyumba tuhamasike
Amka unaota mkuu😆Jumba likiwa na margaden , matree , mayflower , flowing water na small beautiful animals wakirandaranda 😅😅