Ahadi ya kujenga nyumba yangu ya kuishi kabla ya miaka 35 imetimia

Ahadi ya kujenga nyumba yangu ya kuishi kabla ya miaka 35 imetimia

Mkuu mkianza kushindana au kulinganisha vitu, basi mtakuwa mnakosea Sana.
πŸ‘‰Kila mtu Ana jikuna ana poweza
πŸ‘‰Vipato vya watu havilingani
πŸ‘‰Kila mmoja ana malengo na vipaumbele vyake
Namie nimemjibu kulingana na yeye alivyomjibu huyo jamaa. Mana Ni Kama amemuonyesha kuwa yeye alipata akiwa chini ya huo umri. Pia na kutoa funzo kuwa umri sio mafanikio. Kuna watu Wana hela kuzidi wazazi ama babu zake.
Wala sio mashindano mie Nina karibu miaka 68 na nipo kwenye upangaji nakaribia kurudi kijijini huko kwetu.
 
Mkuu nakufahamu kiasi, uko vizuri kiuchumi. Nakumbuka jinsi ulivyoshare kuhusu suala la kukaa Kama mwezi1 ndani if iam not wrong.
 
Mkuu nakufahamu kiasi, uko vizuri kiuchumi. Nakumbuka jinsi ulivyoshare kuhusu suala la kukaa Kama mwezi1 ndani if iam not wrong.
Umechanganya intelligent investor ,wewe sie ndie role model wa Warren buffet , Abraham Nani anaitwa . Na like kitabu chake Cha value investor. Hebu naomba tuwe connected Mana Naona Kama we can share or we share something in common.ila mie nimejikita kwenye speculation or cfd
 
Yesu Mwenyewe mpaka keshokutwa yupo kwa Baba yake .

Kwanza Duniani tunapita .... Tusipeane stress

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‹οΈβ€β™‚οΈπŸ‹οΈβ€β™‚οΈπŸ‹οΈβ€β™‚οΈπŸ‹οΈβ€β™‚οΈπŸ‹οΈβ€β™‚οΈπŸ‹οΈβ€β™‚οΈπŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦πŸ€Όβ€β™€οΈπŸ€Όβ€β™€οΈπŸ€Όβ€β™€οΈπŸ€Όβ€β™€οΈπŸ€Όβ€β™€οΈ
 
Back
Top Bottom