Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Usalama hata kuweka milango kabisa bila ya hivyo itageuzwa gesti bubu soon na watu wa hovyo .Hata kufanywa choo..Kuna vichaa wale homeless wanazunguka tu ukiacha pagala bila ya kuweka milango na madirisha unaweza wakuta wameshafanya nyumba yaoNje ya mada
Naomba kufahamu naona watu wengi wanaweka grill madirishani na milangoni kabla ya kupaua sabbu ni nn? Na je ni muhimu kufanya hivo au ni mapendekezo tu?