Ahadi ya Milioni 5 aliyotoa Rais itaziponza Simba na Yanga. Hazina bahati na wanasiasa

Ahadi ya Milioni 5 aliyotoa Rais itaziponza Simba na Yanga. Hazina bahati na wanasiasa

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu.

Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa mwezi wa mchezaji.

Kawaida Simba hununua away game kwa m 200. Sasa Hawa wanaomshauri mama wamshauri vizuri tu aachane na siasa ya Mpira Ina gundu kubwa kwa Wanasiasa. Kama anatoa mzigo atoe mzigo wa maana zaidi ya m 100 na akaongee nao vyumbani Ila wasifanyie siasa mechi hizi hatutatoboa Mwinyi alipenda Mpira Ila kila akienda Taifa Taifa inagongwa.

Ikawa kwa JK, Katia hela, kaleta kocha baada watu ikabidi wamshauri asiende Taifa akienda tu tunagongwa.

Au Simba siku anakabidhiwa kombe na jpm akapigwa moja na kagera.

Vile vile kinana alinda mechi ya viper vs Yanga eti mgeni rasmi tukaliwa kichwa.
 
Hata wangewekewa kila mmoja ataondoka na Vanguard kichapo kingebaki palepale...wale waarabu wanajua bwana🙌🙌
Sikushangaa kwanini kaka zao walitinga
Nusu world cup huko casablaca kuna Ati ati ya mnyama kula za vipers😅😅🙌
 
Mama abadilishe vigezo aseme kila kona wstakao pata ndo awape hixo pesa, ila kwa goli ni ngumu hawapati hao hizi timu mbovu sana kwa mpira wa kimataifa
 
Back
Top Bottom