‪Ahadi ya Rais Samia kununua magoli kimataifa inaendelea‬

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Akizungumza katika tamasha la Simba Day, Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa ahadi yake ya kutoa motisha kwa vilabu vinavyowakilisha Tanzania Kimataifa inaendelea

"Ahadi yangu ya kununua magoli kwa watakaofanya vizuri kimataifa iko palepale, nendeni mkatuletee ushindi."
 
Amesemaje kuhusu vipengele vya IGA na DP World?
 
She can't win hearts with that. People need her to demonstrate competency.
 
Kununua magoli kwa kuuza bandari?
 
Anakoleza ule moto tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akukuruke tu lakini jambo letu la bandari zetu liko palepale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…