Ahadi ya Rais Samia kwa Watanzania

Ahadi ya Rais Samia kwa Watanzania

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
119
Reaction score
240
Rais Samia akiwa njiani kuelekea Dodoma alisimama katika Halmashauri ya Wilaya Chemba kusalimiana na wananchi na kusema "Ahadi yetu kwenu tutarudisha kuwatumikia wananchi na kuondoa changamoto zinazowakabili hii ndio ahadi yetu kwenu"-Rais Samia Suluhu.

Changamoto zinazowakabili watanzania haswa ni upatikanaji wa huduma za kijamii, Ajira kwa vijana, Miundombinu, Usalama wa raia na uchumi. Katika kipindi kifupi cha uongozi wake Rais Samia amejitahidi kugusa kila sekta inapata maboresho ili kumsaidia mtanzania wa hali ya kawaida.

 
Back
Top Bottom