Ukishakuwa mwana ccm unajiona una akili kuliko dunia nzima, wakati ni wajinga kuliko hata bata mla mavi, kuna wakati unamsikiliza mwenyekiti wao hadi unaona aibu kuitwa mtanzania, sijui tatizo ni umri au ni ujinga tu wa asili! Maana ni wachache sana wenye uwezo wa kujenga hoja ya maana, hebu fikiria mtu mzima anakuambia kuwa wale waandamanaji walikuwa wamefungiwa mahali wakifundishwa kutumia silaha! Au eti walioandamana walikuwa ni machokoraa wanaoishi mitaani, au eti walikuwa wakigawiwa hela ili waandamane, uxenge uxenge tu kmnina, majitu majinga kabisa, ndugu yangu akiwa mwana ccm nakata naye mahusiano mara moja!pmbv