Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
inasikitisha sana, inafedhehesha sana kwakweli,Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi
#NeverAgainView attachment 3579433
Mtu anauza roho sabab ya elf 50, huu ni umaskin uliokithiri. N umaskin wa wananchi ni jukum la serekali yako ya CCM. Kam inavyosifiwa kwa kuendelea kukuza mapato ya nchi, pia inalaumiwa kwa kushindwa kumtetea maskin katik mchakato huohuoinasikitisha sana, inafedhehesha sana kwakweli,
na huenda hao wanaharakati na wanasiasa uchwara waliokua wanawalipa hizo buku ten teni ndio walishinikiza mazishi yao kufanyika haraka sana ili kupoteza ushahidi.
gentleman,Mtu anauza roho sabab ya elf 50, huu ni umaskin uliokithiri. N umaskin wa wananchi ni jukum la serekali yako ya CCM. Kam inavyosifiwa kwa kuendelea kukuza mapato ya nchi, pia inalaumiwa kwa kushindwa kumtetea maskin katik mchakato huohuo
Unawezaje kurofaurisha kati ya chanzo na sababu katika hoja yako hii?gentleman,
chadema imewafanya vijana wengi sana kua malofa wasiofikiri athari za kubebwa ufala wa kifikra kwa elfu5 au elfu10
mbaya zaid,
mihemko nonsense waliyofunzwa kwenye chama chao huwafanya wawe na hasira kama minyumbu ifuatayo mkumbo bila kuelewa hatari ya mkumbo huo.
unakosaje fura Tanzania gentleman?Unawezaje kurofaurisha kati ya chanzo na sababu katika hoja yako hii?
Vijana hawana fursa, mm siamini kama wale waliokufa wote ni chadema. Lakini pia, wote wale ni maskini wasaka tonge