Ahadi za uongo za marafiki

Ahadi za uongo za marafiki

Pambana tatua shida yako living kivingine then futa namba endelea na maisha yako.
 
Nina Rafiki yangu aliwahi kuniambia MPIGADILI USIMUAMINI MTU SABABU MTU ANABADILIKA hadi sasa tunamaliza miezi na miezi tunapitana kama Gari za Wagonjwa zinawahi Hospital
 
Kila mtu na maswaibu yake mwamba kuna wengine hawajui kukataa .Mi kuna Uncle wangu ukimwambie niazime elf 20 utasikia sawa badae kidogo uncle ,milioni 5 nayo ni hivyo hivyo utasikia nipe muda hii niweke kwenye account yako au.Lakini hatumi hata 100.
 
Kitu chochote ambacho hakipo mikononi mwako usikitegemee/usikitarajie.

Hata kama ni pesa yako uliyomuazima Mtu.
Fuata kanuni hiyo itakusaidia.

Weka bajeti kulingana na uwezo wako sio kulingana na matamanio yako.
 
Usifute namba kisa mtu hajakusaidia. Maisha hayaendi hivyo.
Leo kashindwa ipo siku atakusaidia tena mahali usipotarajia
kaka hajashindwa,alikubali hadi kuomba acount number nimpe,hapokei simu hajibu texts na status zake naziona yupo maeneo.

Sasa mtu hapokei simi yangu na hajibu texts popote namba yake ya nini kwangu?

Mimi kama angesema hawezi kunisaidia sikuwa na neno nae,shida ule uongo na matokeo ya alichonifanyia kimehatarisha maisha yangu.
 
Funzo la Maisha
1. Usiumizwe moyo wako kwa kukosa pesa isiyokua yako
2. Usiipangie matumizi pesa ya ahadi hadi utakapoitia mkononi.
3. Tafuta pesa yako kwa nguvu bila kuchoka wala kuona aibu kwa sababu hakuna aibu kubwa zaidi ya umasikini.
4. Rudia kusoma namba 1-3
 
Amani iwe kwenu.

Ninapitia kipindi cha kuumia sana.

Hivi rafiki mnayeheshimiana akikuahidi atakusaidia kutatua tatizo lako la kipesa halafu baadae hapokei simu wala hajibu SMS zako na pesa hakusaidii kama alivyoahidi, ila unaona anaweka status tu WhatsApp huwa mnachukua hatua gani wakuu?

Jamaa yangu mmoja amenifanyia hivyo, hajui tu ameniumiza kiasi gani.
Usimlaumu mkuu! Tozo zimevuruga mipango mkuu!
 
Ubinadamu ni kazi sana kama hana au hayuko tayari kukusaidia ilibidi akuweke wazi kuliko anavyofanya, jitahidi kutafuta njia nyingine ya kutatua shida yako.
 
Back
Top Bottom