ahadi za uwongo kuhusu ajira za kada ya afya na elimu zinazotolewa na TAMISEMI kila mwaka

ahadi za uwongo kuhusu ajira za kada ya afya na elimu zinazotolewa na TAMISEMI kila mwaka

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira.

au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema.

mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala.

kwa sababu ya uchaguzi basi watakuna kuajiri vijana mwezi wa 9 2025.

nashauri viongozi wawe wanawajibika na kauli zao manake huu ni utapeli




















.
 
Back
Top Bottom