Ahirisho la 'press conference' ya Katibu Mwenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka

Ahirisho la 'press conference' ya Katibu Mwenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka

Mshana kalale Bwana, nami nalala. Ndugai akisimama kidete atashinda maana nasikia ishu Ni kupeleka pesa nyingi Zanzibar
Wa Bara tutamuunga mkono
Hivi Ndugai alishawahi kuhoji kuhusu miradi mingi kupelekwa Chato? Hii itakuwa ni justification kwake kuhoji pesa nyingi kupelekwa Zenji.
Ndugai na SASHA wote hawafai, je nani kati yao ni devil mbaya zaidi? Challenging question.
 
Shaka NI Mzanzibari
Watanganyika wajinga Sana yote anayofanya MAMA YETU yalikuwemo ktk taratibu misaada na mikopo yote 4.5 ilikuwa ipewe Zanzibar washenzi hawakuwahi ipatia ZANZIBAR hiyo sehemu na issues zote za Muungano ili zipite Bungeni ilikua nilazima zikibaliwe Kwa THULUTHI MBILI za wabunge WA ZANZIBAR lkn hivyo sivyo matokeo yake mkawa mnafanya tuu vile mpendavyo

#TUNASIMAMA NA MAMA LITAKALOKUA NA LIWE
 
Kaka mkubwa kwani kunalalika basi.. Whatever the case kwangu mimi Jobo simkubali kabisa.. Alikotupitisha ni kubaya mno
Pamoja na yote, akikukuta unapigana na nyoka, akakusaidia, utajisalimisha kwa nyoka ili mradi usiwe upande wake? Nadhani ni vizuri kuangalia mashiko ya hoja kuliko nani kasema.

Vinginevyo haitakuwa tofauti na wale jamaa wa kijani wanaogomea kila hoja itokayo upande wa pili na kuunga mkono kila kinachotoka kwao bila kujali mashiko yake, halafu baadaye wanagundua wamefuata mpiga filimbi wa Hamelini wakiwa wamechelewa. Ndiyo haya tuyaonay.
 
Hivi Ndugai alishawahi kuhoji kuhusu miradi mingi kupelekwa Chato? Hii itakuwa ni justification kwake kuhoji pesa nyingi kupelekwa Zenji.
Ndugai na SASHA wote hawafai, je nani kati yao ni devil mbaya zaidi? Challenging question.
Semi SAMIHA hafai Kwa nini?
# Hafai Kwa sababu kazuia Matajiri kutekwa na kuporwa Mali?
#Hafai Kwa sababu kawapeleka viongoz majambaz Mahakama I?
#Hafai Kwa sababu karejesha utawala WA Sheria
#Hafai Kwa sababu kila MTU yupo huru kuhoji?
 
Bwana Shaka msemaji wa CCM Taifa ilitarajiwa angekuwa na kikao na wanahabari, lakini kwa mshangao wa wengi press conference imesogezwa mbele...

Nawe una mihemko, hiyo kasi iko wapi?
 
Kama sijakosea waziri wa TAMISEMI alisema kuna uhaba wa vyumba vya madarasa 10,000.
Sasa kama kila chumba kinagharimu shs 20m/=. Vyumba vyote vingegharimu 200bn/=. Si vingejengwa hata nusu yake?
Mkopo 1,300bn/=.
Ila bado nasimama na mama. Hatuna tena utekwaji na unyang'anyaji.
 
Watanganyika wajinga Sana yote anayofanya MAMA YETU yalikuwemo ktk taratibu misaada na mikopo yote 4.5 ilikuwa ipewe Zanzibar washenzi hawakuwahi ipatia ZANZIBAR hiyo sehemu na issues zote za Muungano ili zipite Bungeni ilikua nilazima zikibaliwe Kwa THULUTHI MBILI za wabunge WA ZANZIBAR lkn hivyo sivyo matokeo yake mkawa mnafanya tuu vile mpendavyo

#TUNASIMAMA NA MAMA LITAKALOKUA NA LIWE
Naunga mkono hoja, si kweli Zanzibar haiwezi kukopa nayo matriliion mpaka ipitie Muungano

si kweli hiyo hotel ndefu Africa ni pesa hizo.

Mama anamalizia daraja la Kigongo -Busisi Reli ya mwendokasi Mwanza Isaka kabla hata ya Tabora Isaka.

Mwendazake alizima mwenyewe Gesi kutoka kusini Hadi Bagamoyo, bandari ya Bagamoyo, bila ya Binge kuhoji, kajenga Ikulu Chamwino bila hela ya Bunge, kajenga Ikulu Chato kamwapisha Mwigulu Ndugai hakuhoji Leo kwenye Kikao cha kimila cha Wagogo analalamika?
NASIMAMA NA MAMA

View attachment 2070151
 
Hivi Gwajima Uno Alisema Anakwenda Kufunga Kumuondoa......Kwenye Nchi Yake Sasa Sijui Ndiyo Haya
 
Dah, kilichomgharimu ndugai Ni kuomba radhi kizembe
Sio kuomba kizembe bali ni kule kuomba tu. Hapo ndipo alipoharibu na kuwapa nguvu wapinzani wake. Kutubu ni kukiri kuwa umekosea kweli na unajutia kosa lako.
 
Ndungai asiwanyenyekee hao maboya , alaf kuomba msamaha lilikuwa kosa la Karne , kama vip awasikilizie wanachotaka wafanye na wafanye na hakuna kujiuzulu , tozo lazima zihojiwe na ukopaji wa pupa lazima uhojiwe ,
ubavu huo anao??
 
Nitamsamehe yote Ndugai lakini si ukatili aliyomfanyia Tundu Lisu, kumnyima matibabu na kumvuwa ubunge.

Kama ningekuwa na mamlaka huyu ni mtu wa kupigwa risasi hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.

KARMA ndio inamtafuna sasa, malipo ni hapahapa duniani.
Sawa alitukosea ika sio kupigwa risasi ndugu
 
Watanganyika wajinga Sana yote anayofanya MAMA YETU yalikuwemo ktk taratibu misaada na mikopo yote 4.5 ilikuwa ipewe Zanzibar washenzi hawakuwahi ipatia ZANZIBAR hiyo sehemu na issues zote za Muungano ili zipite Bungeni ilikua nilazima zikibaliwe Kwa THULUTHI MBILI za wabunge WA ZANZIBAR lkn hivyo sivyo matokeo yake mkawa mnafanya tuu vile mpendavyo

#TUNASIMAMA NA MAMA LITAKALOKUA NA LIWE
Ni kweli kabisa Dega. Ondoa tuu maneno 'wajinga' na 'washenzi'. Ukishaondoa utakuwa sawa asilimia mia.
 
Tusimwangalie Ndugai,tutazame hoja zake.Wazungu wana Msemo wao “even a broken clock is right twice a day”
Mkuu hapo ndipo tunakosea, Huyu Ndugai ndio alipinga sana 1.5T isichunguzwe na kuongoza vita dhidi ya aliyekuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali.
Mimi namuunga mkono Mh. Rais kwamba ni hatari sana kufanya kazi na mtu kama Ndugai.

Hakuna namna Ndugai must go.
 
Hoja ya Ndungai inafunikwa na agenda ya Urais 2025.
Ndugujobo agombee urais sidhani hata km ana wazo hilo.

kimemponza kuuliza habari za mikopo kwenda Zanzibar badala ya Dom km zamani.

hicho nimemuelewa,mengine nawaachia wao.

na hili ilikua ni wao wenyewe kuzama ndani wadiscuss issue wamalize.

sio kuleta mapress conference yasio kua na kichwa wala miguu.

Magu alikua anagawa sambusa na maji na karanga anawaaga waliohudhuria "haya mkale kwenu*

Na sio kwamba hamna hela ya dhifa hela pale ipo tu.

ila alikua anaona hawa wote hapa wana hela ya kula hotel yoyote mahali popote au makwao.

yale mambo zunguka upande wa pili tukale yamerudi.

Jobo atulie tu kwasasa,

juzi wote wamemgeuka.
 
Usiku ni ofisi ipi inayofanyakazi?
Upo zama zakuagiza barua kwenye mabasi.
Tekinolojia inafanyakazi 24hrs,pia serikali hailali.
Ayoub atakuwa alielekezwa tutakuja kabla ya muda Fulani utukabidhi barua ya.
1.Kujiudhuru
2.Kuendelea kuwa mbabe wa bunge.
Halafu wote yawezekana walivalia miwani mweusi
 
Hivi Ndugai alishawahi kuhoji kuhusu miradi mingi kupelekwa Chato? Hii itakuwa ni justification kwake kuhoji pesa nyingi kupelekwa Zenji.
Ndugai na SASHA wote hawafai, je nani kati yao ni devil mbaya zaidi? Challenging question.
Sidhani lakini Chato ni Tanganyika,Zanzibar ni nchi nyingine ukienda kule wewe ni mgeni ni sawa na mkenya.

Siungi mkono ubadhirifu wa Chato.
 
Bwana Shaka msemaji wa CCM Taifa ilitarajiwa angekuwa na kikao na wanahabari, lakini kwa mshangao wa wengi press conference imesogezwa mbele.

Ni dhahiri mada kuu ni mustakabali wa Spika wa Bunge Mh Ndugai.

Najaribu kufikiri sababu za kuhairisha press conference najikuta nawaza tofauti na waTanzania wengi.

Kwamba Ndugai ni mkosaji saaaana.
Kwamba Ndugai lazima kichwa chake kiliwe. Kwamba kukopa mabilioni kwaajili ya ujenzi wa madarasa kusihojiwe.
Kwamba tozo tuliyoambiwa ni kwaajili ya kujenga vyumba vya madarasa haitoshi.

Akili inaniambia hicho kikao cha Halmashauri kuu kuna watu wachache wenye akili za kuhoji kulikoni.Mbona kasi ya kukopa imekuwa kubwa ndani ya miezi michache.

Nahisi hicho kikao kimekumbana na mpasuko mkubwa kuliko ilivyotarajiwa.

Nahisi Ndugai sasa anabembelezwa amsaidie Rais kwa kujiuzulu kwakuwa asipofanya itakuwa ni kumfedhehesha Rais.

Ni hayo tu kwa leo

Ngongo kwasasa Kongwa.
Huogopi kucharazwa bakora na jirani mlorofi, ila shukran Kwa kutumegea yanayojiri🤔.
 
Ndugai kama mhimili wa serikali alikua sahihi hakupaswa kuomba msamaha lakini Tatizo amejaa sana unafki nikikumbuka alivyokua anajibu hoja zinazokinzana na Mheshimiwa John hata roho ya kumuonea huruma sina namuona kama mnafiki tu.Kipindi kile mbona alikua kama amerogwa huyu ndugai tungempata wakati ule asee alishindwa kuhoji hata 1.5 T akaishia kumdhalilisha Assad
 
Back
Top Bottom