Ahirisho la 'press conference' ya Katibu Mwenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka

Ahirisho la 'press conference' ya Katibu Mwenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka

Hapana tafadhali sio kwa Ndugai .. Sio mzalendo ni mlafi na ni fisadi wa viwango vya juu kabisa.. Tusisahau alikotupitisha na alikorufikisha kama spika..MIMI HUWA SISAHAU
Hata mimi sisahau mkuu hasa ukatili wa kumnyima Tundu Lisu kugharamiwa matibabu na serikali, na pia kumvuwa ubunge kihuni, hili halisameheki duniani.

Asulubiwe Ndugai, no merci for this bunch of gangstas.
 
Kibuyu kimeshatumbuka
 
Nadhani watu wenye hekima na saburi wamewashauri wasifanye mambo kwa pupa, bali kwa tuo, tafakuri na hadhari
Nimewaza kama wewe.
By the way lini Uko free tupige moja mbili tukibadilishana mawazo?
 
Back
Top Bottom