Ahirisho la 'press conference' ya Katibu Mwenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka

Ahirisho la 'press conference' ya Katibu Mwenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka

Ndungai asiwanyenyekee hao maboya , alaf kuomba msamaha lilikuwa kosa la Karne , kama vip awasikilizie wanachotaka wafanye na wafanye na hakuna kujiuzulu , tozo lazima zihojiwe na ukopaji wa pupa lazima uhojiwe ,
nduuugai ndio boya mkuu, anataka kushindana na wenye mpini,Ngojea akatwe vidole vyake
 
Semi SAMIHA hafai Kwa nini?
# Hafai Kwa sababu kazuia Matajiri kutekwa na kuporwa Mali?
#Hafai Kwa sababu kawapeleka viongoz majambaz Mahakama I?
#Hafai Kwa sababu karejesha utawala WA Sheria
#Hafai Kwa sababu kila MTU yupo huru kuhoji?
Sukuma Gang na ndugai wanakuambia Samia hafai sababu hateki na kuua,na Wala hanyanyasi matajiri
 
Ndugai kaongea ukweli, kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa miradi ya madawati nk. haikubaliki, na hili ni lazima liondoke na mtu
 
Pamoja na yote, akikukuta unapigana na nyoka, akakusaidia, utajisalimisha kwa nyoka ili mradi usiwe upande wake? Nadhani ni vizuri kuangalia mashiko ya hoja kuliko nani kasema. Vinginevyo haitakuwa tofauti na wale jamaa wa kijani wanaogomea kila hoja itokayo upande wa pili na kuunga mkono kila kinachotoka kwao bila kujali mashiko yake, halafu baadaye wanagundua wamefuata mpiga filimbi wa Hamelini wakiwa wamechelewa. Ndiyo haya tuyaonay.
Si kwamba hana hoja ila sasa kutokana na unyama alioutenda tuache kwanza araruliwe na aliyoyashadadia baadae tutawaunga mkono wengine watakao ibeba hoja hiyo wakiwa na uhalali.
 
Bwana Shaka msemaji wa CCM Taifa ilitarajiwa angekuwa na kikao na wanahabari, lakini kwa mshangao wa wengi press conference imesogezwa mbele.

Ni dhahiri mada kuu ni mustakabali wa Spika wa Bunge Mh Ndugai.

Najaribu kufikiri sababu za kuhairisha press conference najikuta nawaza tofauti na waTanzania wengi.

Kwamba Ndugai ni mkosaji saaaana.
Kwamba Ndugai lazima kichwa chake kiliwe. Kwamba kukopa mabilioni kwaajili ya ujenzi wa madarasa kusihojiwe.
Kwamba tozo tuliyoambiwa ni kwaajili ya kujenga vyumba vya madarasa haitoshi.

Akili inaniambia hicho kikao cha Halmashauri kuu kuna watu wachache wenye akili za kuhoji kulikoni.Mbona kasi ya kukopa imekuwa kubwa ndani ya miezi michache.

Nahisi hicho kikao kimekumbana na mpasuko mkubwa kuliko ilivyotarajiwa.

Nahisi Ndugai sasa anabembelezwa amsaidie Rais kwa kujiuzulu kwakuwa asipofanya itakuwa ni kumfedhehesha Rais.

Ni hayo tu kwa leo

Ngongo kwasasa Kongwa.
Unaweza kuta wewe ni ngugai eti!
 
Hapana tafadhali sio kwa Ndugai .. Sio mzalendo ni mlafi na ni fisadi wa viwango vya juu kabisa.. Tusisahau alikotupitisha na alikorufikisha kama spika..MIMI HUWA SISAHAU
 
Waliomshauri bi mkubwa juzi apasuke walimuingiza chaka la hatari. Baada ya Ndugai kuomba msamaha bi mkubwa angepiga kimya halafu kama alimind Sana akamtafutia namna bora ya kumninginiza kama mkwere alivyomfanya Samwel 2010.

Ukweli ambao watu wengi hawauoni ni kwamba Jambo hili litawaondoa wote Ndugai na bi mkubwa isipokuwa tu Ndugai anaweza kutangulia kuondoka.
 
Si kwamba hana hoja ila sasa kutokana na unyama alioutenda tuache kwanza araruliwe na aliyoyashadadia baadae tutawaunga mkono wengine watakao ibeba hoja hiyo wakiwa na uhalali.
Kuzungumzia hoja hakumfutii hatia. Tuende na hoja, wenye madukuduku naye waendelee.
 
Bwana Shaka msemaji wa CCM Taifa ilitarajiwa angekuwa na kikao na wanahabari, lakini kwa mshangao wa wengi press conference imesogezwa mbele.

Ni dhahiri mada kuu ni mustakabali wa Spika wa Bunge Mh Ndugai.

Najaribu kufikiri sababu za kuhairisha press conference najikuta nawaza tofauti na waTanzania wengi.

Kwamba Ndugai ni mkosaji saaaana.
Kwamba Ndugai lazima kichwa chake kiliwe. Kwamba kukopa mabilioni kwaajili ya ujenzi wa madarasa kusihojiwe.
Kwamba tozo tuliyoambiwa ni kwaajili ya kujenga vyumba vya madarasa haitoshi.

Akili inaniambia hicho kikao cha Halmashauri kuu kuna watu wachache wenye akili za kuhoji kulikoni.Mbona kasi ya kukopa imekuwa kubwa ndani ya miezi michache.

Nahisi hicho kikao kimekumbana na mpasuko mkubwa kuliko ilivyotarajiwa.

Nahisi Ndugai sasa anabembelezwa amsaidie Rais kwa kujiuzulu kwakuwa asipofanya itakuwa ni kumfedhehesha Rais.

Ni hayo tu kwa leo

Ngongo kwasasa Kongwa.
NDUGAI KAIPASUA CCM VIPANDE VIWILI
 
Dah, kilichomgharimu ndugai Ni kuomba radhi kizembe
Sio kuomba radhi anaonekana mtu wa fitna za chini chini sana kwa kutumia mhimili wake sasa kagusa wenye madaraka na pia hana ushawishi kwa Wananchi au kwenye makundi ya siasa zao kwa hiyo anabaki kuomba media zimtangazie msamaha...
 
Watanganyika wajinga Sana yote anayofanya MAMA YETU yalikuwemo ktk taratibu misaada na mikopo yote 4.5 ilikuwa ipewe Zanzibar washenzi hawakuwahi ipatia ZANZIBAR hiyo sehemu na issues zote za Muungano ili zipite Bungeni ilikua nilazima zikibaliwe Kwa THULUTHI MBILI za wabunge WA ZANZIBAR lkn hivyo sivyo matokeo yake mkawa mnafanya tuu vile mpendavyo

#TUNASIMAMA NA MAMA LITAKALOKUA NA LIWE
Sema Watanganyika mtusaidie tusimame na mama. Maana nyinyi wenyewe kama Zanzibar hata mkisimama na mama kura zenu kama mkoa mmoja tu
 
NDUGAI KAIPASUA CCM VIPANDE VIWILI
Inafikirisha.

Kila kitu kinapewa nafasi yake. Nchi hii kuna Taasisi ya urais ni kubwa mno, kuna muhimili wa Bunge, Kuna CCM ambayo ndio kila kitu.

Watu wenye kazi zao watakupa majibu. Siamini kwamba Mama atamke yale iwe road map haikuchorwa.

Lazima kutafutwe namna ya kubalance na kuprove alichosema mama. Huu muhimili wa mama ni wa level nyengine.

Kupitia kadhia hii, kama nchi tujifunze tulipokosea.
Ona maeneo haya

1 Kosa la kutotangazwa baraza Jipya la Mawaziri la awamu ya Sita
2. Umuhimu wa uhuru wa mihimili ya Dola
3. umuhimu wa maridhiano ya kitaifa

Upepo huu utapita salama tu.
 
nahisi kuna mahusiano baina ya press ya shaka na press ya askofu rashidi.
 
Back
Top Bottom