Ahirisho la 'press conference' ya Katibu Mwenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka

Ndungai asiwanyenyekee hao maboya , alaf kuomba msamaha lilikuwa kosa la Karne , kama vip awasikilizie wanachotaka wafanye na wafanye na hakuna kujiuzulu , tozo lazima zihojiwe na ukopaji wa pupa lazima uhojiwe ,
nduuugai ndio boya mkuu, anataka kushindana na wenye mpini,Ngojea akatwe vidole vyake
 
Semi SAMIHA hafai Kwa nini?
# Hafai Kwa sababu kazuia Matajiri kutekwa na kuporwa Mali?
#Hafai Kwa sababu kawapeleka viongoz majambaz Mahakama I?
#Hafai Kwa sababu karejesha utawala WA Sheria
#Hafai Kwa sababu kila MTU yupo huru kuhoji?
Sukuma Gang na ndugai wanakuambia Samia hafai sababu hateki na kuua,na Wala hanyanyasi matajiri
 
Mtaongea lugha zote safari hii,wagogo na wasukuma mmeshikwa pabaya, ndio mtajua kuwa serikali Ni zaidi ya SAMIA
Unaumwa wewe wacha kunilinganisha na makabila nisiyoyajua
 
Ndugai kaongea ukweli, kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa miradi ya madawati nk. haikubaliki, na hili ni lazima liondoke na mtu
 
Si kwamba hana hoja ila sasa kutokana na unyama alioutenda tuache kwanza araruliwe na aliyoyashadadia baadae tutawaunga mkono wengine watakao ibeba hoja hiyo wakiwa na uhalali.
 
Unaweza kuta wewe ni ngugai eti!
 
Hapana tafadhali sio kwa Ndugai .. Sio mzalendo ni mlafi na ni fisadi wa viwango vya juu kabisa.. Tusisahau alikotupitisha na alikorufikisha kama spika..MIMI HUWA SISAHAU
 
Waliomshauri bi mkubwa juzi apasuke walimuingiza chaka la hatari. Baada ya Ndugai kuomba msamaha bi mkubwa angepiga kimya halafu kama alimind Sana akamtafutia namna bora ya kumninginiza kama mkwere alivyomfanya Samwel 2010.

Ukweli ambao watu wengi hawauoni ni kwamba Jambo hili litawaondoa wote Ndugai na bi mkubwa isipokuwa tu Ndugai anaweza kutangulia kuondoka.
 
Si kwamba hana hoja ila sasa kutokana na unyama alioutenda tuache kwanza araruliwe na aliyoyashadadia baadae tutawaunga mkono wengine watakao ibeba hoja hiyo wakiwa na uhalali.
Kuzungumzia hoja hakumfutii hatia. Tuende na hoja, wenye madukuduku naye waendelee.
 
NDUGAI KAIPASUA CCM VIPANDE VIWILI
 
Dah, kilichomgharimu ndugai Ni kuomba radhi kizembe
Sio kuomba radhi anaonekana mtu wa fitna za chini chini sana kwa kutumia mhimili wake sasa kagusa wenye madaraka na pia hana ushawishi kwa Wananchi au kwenye makundi ya siasa zao kwa hiyo anabaki kuomba media zimtangazie msamaha...
 
Sema Watanganyika mtusaidie tusimame na mama. Maana nyinyi wenyewe kama Zanzibar hata mkisimama na mama kura zenu kama mkoa mmoja tu
 
NDUGAI KAIPASUA CCM VIPANDE VIWILI
Inafikirisha.

Kila kitu kinapewa nafasi yake. Nchi hii kuna Taasisi ya urais ni kubwa mno, kuna muhimili wa Bunge, Kuna CCM ambayo ndio kila kitu.

Watu wenye kazi zao watakupa majibu. Siamini kwamba Mama atamke yale iwe road map haikuchorwa.

Lazima kutafutwe namna ya kubalance na kuprove alichosema mama. Huu muhimili wa mama ni wa level nyengine.

Kupitia kadhia hii, kama nchi tujifunze tulipokosea.
Ona maeneo haya

1 Kosa la kutotangazwa baraza Jipya la Mawaziri la awamu ya Sita
2. Umuhimu wa uhuru wa mihimili ya Dola
3. umuhimu wa maridhiano ya kitaifa

Upepo huu utapita salama tu.
 
nahisi kuna mahusiano baina ya press ya shaka na press ya askofu rashidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…