Rufiji dam JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 4,107 Reaction score 9,671 Jan 6, 2022 #61 Nasikia Job kaachia ngazi tayari.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jan 6, 2022 #62 Mshana Jr said: Hapana tafadhali sio kwa Ndugai .. Sio mzalendo ni mlafi na ni fisadi wa viwango vya juu kabisa.. Tusisahau alikotupitisha na alikorufikisha kama spika..MIMI HUWA SISAHAU Click to expand... Hata mimi sisahau mkuu hasa ukatili wa kumnyima Tundu Lisu kugharamiwa matibabu na serikali, na pia kumvuwa ubunge kihuni, hili halisameheki duniani. Asulubiwe Ndugai, no merci for this bunch of gangstas.
Mshana Jr said: Hapana tafadhali sio kwa Ndugai .. Sio mzalendo ni mlafi na ni fisadi wa viwango vya juu kabisa.. Tusisahau alikotupitisha na alikorufikisha kama spika..MIMI HUWA SISAHAU Click to expand... Hata mimi sisahau mkuu hasa ukatili wa kumnyima Tundu Lisu kugharamiwa matibabu na serikali, na pia kumvuwa ubunge kihuni, hili halisameheki duniani. Asulubiwe Ndugai, no merci for this bunch of gangstas.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jan 6, 2022 #63 Matola said: Hata mimi sisahau mkuu hasa ukatili wa kumnyima Tundu Lisu kugharamiwa matibabu na serikali, na pia kumvuwa ubunge kihuni, hili halisameheki duniani. Asulubiwe Ndugai, no merci for this bunch of gangstas. Click to expand... Kibuyu kimeshatumbuka
Matola said: Hata mimi sisahau mkuu hasa ukatili wa kumnyima Tundu Lisu kugharamiwa matibabu na serikali, na pia kumvuwa ubunge kihuni, hili halisameheki duniani. Asulubiwe Ndugai, no merci for this bunch of gangstas. Click to expand... Kibuyu kimeshatumbuka
Fursakibao JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 6,813 Reaction score 11,540 Jan 6, 2022 #64 Mshana Jr said: Nadhani watu wenye hekima na saburi wamewashauri wasifanye mambo kwa pupa, bali kwa tuo, tafakuri na hadhari Click to expand... Nimewaza kama wewe. By the way lini Uko free tupige moja mbili tukibadilishana mawazo?
Mshana Jr said: Nadhani watu wenye hekima na saburi wamewashauri wasifanye mambo kwa pupa, bali kwa tuo, tafakuri na hadhari Click to expand... Nimewaza kama wewe. By the way lini Uko free tupige moja mbili tukibadilishana mawazo?
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jan 6, 2022 #65 Mshana Jr said: Kibuyu kimeshatumbuka Click to expand... Bado haitoshi, subiri ndio utaijuwa vizuri ccm, huyu ni mbwa kabisa hastahili hata kubaki na ubunge yeye na wahuni wenzake covid 19.
Mshana Jr said: Kibuyu kimeshatumbuka Click to expand... Bado haitoshi, subiri ndio utaijuwa vizuri ccm, huyu ni mbwa kabisa hastahili hata kubaki na ubunge yeye na wahuni wenzake covid 19.