Mkuu share asante kwa hii link, ipo poa kabisa. Ninavyouona mchezo ulivyo, Yanga hawajazidiwa sana ila wanaonyesha woga fulani hivi yaani wakifika mita kama 40 - 30 karibu na goli la Waarabu wanashindwa kabisa kupass. time will tell lets wait.
hayu kipa yanga wamemuokota wapi? mpira gani ule wa kupanchi, kipa wa kweli anadaka tu kikrosi kile, na huy nsajigwa sijui ndo nani hata kutoa pas hajui kafundishwa na nani mpira wa mitaani anaotuonyesha , well done Nadir Haroub................