Ahmed Ali bado sana kumfikia Haji Manara ingawa Haji kashaanza ingiwa na hofu

Kwa taarifa yako msomi hawwzi kuleta hamasa na msisimko kwa mashabiki kama anavyoweza kufanya kayumba flani.
Kazi ya usemaji inahitaji kujitoa ufahamu kama afanyavyo Manara.
Nachelea kusema unanwona Haji hafai sasa baada ya kujiondoa timu yako.
manara kaamua kwenda kwa wajinga wenzie alikosema ni baba yake tu na mzee kikwete ndo wana akili waliobaki wote maanaake ukiwemo na wewe ni vibwengo (hamnazo)

NB: usinichukie mimi manara ndo alisema hivyo
 
Tambarale? .... kila mmoja na nyota yake buana... nyota ya huyu broo Ahmed Ally iko juu sana sio kama ya mkata mauno!

Manara aishukuru Simba tyuu!

😁😁 Hisia zake alihisi akiondoka Simba mashabiki wote watamfuata....ghafla wanasimba wakamsahau hicho kinamuuma sana!
Kabla ya kuja Ahmed Ally Manara kamtukuna sana Mo kisa ni kijana ILA hajui hata Engeneer ni kijana mwenzako ... halafu hajui bilionea wa watu hakuwa na habar nae, hajawahi kujibu wala kusema lolote! Unajua matajiri buana wanajua sana, huwa hawaishi kwa maneno ila vitendo!..... Masikini huw tunatapatapa ili tule!
Mapaka Manara katulia kaishiwa maneno...
Sasa baada kuja Ahmed Ally Manara kachanganyikiwa kabisaaa.....

Manara hakya nani hakawii kuroga!
 
Tatizo la haji huyo huyo ni chawa wa gsm la yanga yupo tu kwa sababu yupo gsm .gsm akitoka hata leo na yeye a aondoka
 
Katika moja ya Interview ya Haji Manara wakati akiwa ni msemaji wa Simba, alishawahi kusema "Mimi sitadumu Simba milele ipo siku nitaondoka na atakuja mtu mwingine. Haji amefanya mengi sana na sidhani kama itakua fair kumjudge msemaji ajae kwa kumfananisha na Haji viatu vyangu ni vikubwa ila tukimpa support atafanya atakapo weza". Kipindi hicho Haji alikua kipenzi cha Wanasimba na alikua na confidence ya kutosha sana. Katu hakua na shaka na ukubwa wake.

"Mimi hapa mmoja ni sawa na wale wote kule Utopolo (Bumbuli na Nugaz), Haji mtu mkubwa bwana" Hayo yalikua maneno ya Haji kudhihirisha ukubwa wake. Siku zikapita Haji akang'atuka Simba kwa style iliyofanya kila Mwanasimba kusahau yote aliyoyatenda, mwamba akawa mkosoaji mkuu wa Simba.

Baadae Simba wakamtambulisha Ahmed Ally kama Manager wa mawasiliano na habari. Katika Interview akiwa Clouds Fm aliulizwa unahizi unaweza kuvaa viatu vya mtangulizi wako ambae alifanya makubwa sana ndani ya Simba na alikua kipenzi cha mashabiki. "Kuhusu mtangulizi alifanya makubwa sana ndani ya Simba ingawa kwa namna alivyoondoka ameifanya kazi yangu iwe nyepesi zaidi. Wanasimba walikua wanahitaji mtu wa kuwasemea baada ya kuachwa na mtangulizi wangu, hivyo hakuna uzito wowote".

Kitu alichotegemea Haji kingekua mlima kwa mrithi wake imekuja kua tambalale sababu ya namna alivyoondoka. Na uzuri ni kua mtu aliyekuja ameingia na kuanza kufanya kazi yake na ikaonekana kwa namna tofauti na ile ya mtangulizi wake. Ingawa ni ukweli usiopingika Ahmed bado sana kumfikia HAJI ila jamaa kashaingiwa na wasiwasi kuona ile legacy aliyodhani itakua mlima ishaanza kufutika ndani ya miezi mitatu. Hata zile kauli zake za kusema yeye ni mkubwa huliko wote sasa hivi ameacha na ameanza kuona mbali ya makubwa mtu anayoweza kufanya, ukishawapatia watu sababu ya kukusahau wanafanya hivyo.​
🤧🤧🤧
 
Watu wenye magonjwa ya akili wengi sana siku hizi.
Ndio maana unakuta mtu anajua kabisa kuandika tena JF ila hana akili.

Vipi mkuu ushafuturu 😂😂 mbona una hasira sana
 
Ahmed Ally.... Ameshamfunika Haji ndani ya kipindi kifupi.... Kimsingi Haji ameshaanza kusahaulika... Na asipoangalia atapotea moja kwa moja....
 
Kwa taarifa yako msomi hawwzi kuleta hamasa na msisimko kwa mashabiki kama anavyoweza kufanya kayumba flani.
Kazi ya usemaji inahitaji kujitoa ufahamu kama afanyavyo Manara.
Nachelea kusema unanwona Haji hafai sasa baada ya kujiondoa timu yako.

Yani "Usemaji ni Kujitoa Ufahamu?"

Hiyo Ada ya Wazazi Wako Bora Wangenunua Ngombe tu Wakafuga.
 
Back
Top Bottom