Ahmed Ali bado sana kumfikia Haji Manara ingawa Haji kashaanza ingiwa na hofu

Kwa taarifa yako msomi hawwzi kuleta hamasa na msisimko kwa mashabiki kama anavyoweza kufanya kayumba flani.
Kazi ya usemaji inahitaji kujitoa ufahamu kama afanyavyo Manara.
Nachelea kusema unanwona Haji hafai sasa baada ya kujiondoa timu yako.
manara kaamua kwenda kwa wajinga wenzie alikosema ni baba yake tu na mzee kikwete ndo wana akili waliobaki wote maanaake ukiwemo na wewe ni vibwengo (hamnazo)

NB: usinichukie mimi manara ndo alisema hivyo
 
Tambarale? .... kila mmoja na nyota yake buana... nyota ya huyu broo Ahmed Ally iko juu sana sio kama ya mkata mauno!

Manara aishukuru Simba tyuu!

😁😁 Hisia zake alihisi akiondoka Simba mashabiki wote watamfuata....ghafla wanasimba wakamsahau hicho kinamuuma sana!
Kabla ya kuja Ahmed Ally Manara kamtukuna sana Mo kisa ni kijana ILA hajui hata Engeneer ni kijana mwenzako ... halafu hajui bilionea wa watu hakuwa na habar nae, hajawahi kujibu wala kusema lolote! Unajua matajiri buana wanajua sana, huwa hawaishi kwa maneno ila vitendo!..... Masikini huw tunatapatapa ili tule!
Mapaka Manara katulia kaishiwa maneno...
Sasa baada kuja Ahmed Ally Manara kachanganyikiwa kabisaaa.....

Manara hakya nani hakawii kuroga!
 
Tatizo la haji huyo huyo ni chawa wa gsm la yanga yupo tu kwa sababu yupo gsm .gsm akitoka hata leo na yeye a aondoka
 
🀧🀧🀧
 
Watu wenye magonjwa ya akili wengi sana siku hizi.
Ndio maana unakuta mtu anajua kabisa kuandika tena JF ila hana akili.
 
Watu wenye magonjwa ya akili wengi sana siku hizi.
Ndio maana unakuta mtu anajua kabisa kuandika tena JF ila hana akili.
Vipi mkuu ushafuturu πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona una hasira sana
 
Ahmed Ally.... Ameshamfunika Haji ndani ya kipindi kifupi.... Kimsingi Haji ameshaanza kusahaulika... Na asipoangalia atapotea moja kwa moja....
 
Kwa taarifa yako msomi hawwzi kuleta hamasa na msisimko kwa mashabiki kama anavyoweza kufanya kayumba flani.
Kazi ya usemaji inahitaji kujitoa ufahamu kama afanyavyo Manara.
Nachelea kusema unanwona Haji hafai sasa baada ya kujiondoa timu yako.

Yani "Usemaji ni Kujitoa Ufahamu?"

Hiyo Ada ya Wazazi Wako Bora Wangenunua Ngombe tu Wakafuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…