Ahmed Ally anapitia magumu sana na timu yake

Ahmed Ally anapitia magumu sana na timu yake

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ndugu yangu huyu nampa Pole yaani ukweli anatamani kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake.

Kati ya watu niliwaonea huruma majuzi ni ndugu yangu huyu hatareee sanaaa.

Tuendelee kumwombea Allah ampe nguvu na timu yake asikate tamaaa.
 
Apunguzee tu makelelee
 
Ndugu yangu huyuu na mpa Pole yaan ukweli anataman kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake....

Katiyawatu niliwaonea huruma majuzi n nduguyanguhuyu hatareee sanaaa

Tuendelee kumwombea Allah ampe nguvu na timu yake asikate tamaaa
Screenshot_20240421-143930~2.png
 
Simba ya Ahmed Ali ni bingwa wa dunia ila Simba ya Benchickah haitoi draw na Mtibwa
 
Ndugu yangu huyu nampa Pole yaani ukweli anatamani kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake.
Endelea kumpa pole mwanaume mwenzako anayelipwa mshahara, wakati huo huo hajui kuna mjinga mmoja anampa pole ilhali hajawahi kulala njaa.
 
Back
Top Bottom