Ahmed Ally: Mpango wa Yanga kushinikiza Viongozi kujiuzulu ni mpango wa makusudi

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu!

Imebaki siku moja kabla ya dabi ya kariakoo hakun tiketi zilizouzwa mashabiki wanaingiaje kwa mkapa?

===

"Mpango wa Nyuma Mwiko kushinikiza Katibu Mkuu wa TFF na Mtendaji wa Bodi ya Ligi wajiuzulu ni mpango wa makusudi wa kutaka kuweka watendaji wapya katika taasisi hizo watakaolinda maslahi yao na kuwapendelea wao

Pia kutaka kuvunjwa kwa kamati ya uendeshaji ya Bodi ya Ligi ni mkakati wa makusudi wa kutaka kuunda kamati ambayo itakua chini yao kimaamuzi

Kumbuka hawa ndio Wavunjaji wakubwa wa kanuni, ikiwemo kupita Geti lisilo rasmi, viongozi wao kuvamia Pitch, Sasa wanataka kuweka kamati ambayo itafumbia macho vitendo hivyo

Kama haitoshi wanataka kuweka Watendaji wapya wa TFF na Bodi ya Ligi ambao watakua waoga kimaamuzi maana wataamini kuwa Nyuma Mwiko wakichachamaa watanin’goa madarakani hivyo watafanya kila jambo kuwafurahisha

Ndugu zetu wa Songesha mlipolala nyie ndio tumeamkia sisi kwa kiufupi ni sisi tupo mbele ya muda

Hatuwezi kuruhusu uhuni huu ufanyike, tutakula na nyie sahani moja kukomesha utoto kwenye mambo ya msingi.

Bodi ya Ligi ni chombo cha vilabu vyote hivyo hatuwezi kuachia timu moja ifanye maamuzi kwa ajili ya wengine wengi na sisi ni Wanachama wa TFF hatuwezi kuruhusu" Ahmed Ally msemaji wa simba Sc

1749710384390.png
 
Wanapogania Fedha za wananchi😆😆😆😆😆

Zikitolewa zinakuwa za viongozi😆😆😆
 
Haka nako kama kamwanamke kahaba
Kanahangaika na mambo ya YANGA kila siku!kwa nn analazimisha yanga acheze??wao si wapeleke team wapate point 3!!shida ni nn??
Yaani mtu hataki kupigana,unapewa ushindi halafu unalazimisha mpinzani apigane na hataki!!
Mbumbumbu kabisa in Rage's voice
 
Apigane ndio ili uso uliocakazwa uonekane na upigwe picha hahahaa
 
Atulize wezele mipango ya Yanga yy ina muhusu nini.Wamekuja na mpango wao wa kipuuzi wa kugomea mechi kisa hawajafanya mazoezi, ukiwambia walitumia kanuni gani hawana majibu.
Kataa maharamia kwenye ligi kuu..kikundi Cha wahuni wachache wanataka kuharibu ligi YETU...mkafie mbali huko huko nendeni mkacheze ligi nyingine ambazo mtakua mnaweza kufanya uharamia ambao mnataka kufanya hapa kwetu...
 
Haka nako kama kamwanamke kahaba
Kanahangaika na mambo ya YANGA kila siku!kwa nn analazimisha yanga acheze??wao si wapeleke team wapate point 3!!shida ni nn??
Yaani mtu hataki kupigana,unapewa ushindi halafu unalazimisha mpinzani apigane na hataki!!
Mbumbumbu kabisa in Rage's voice
Hata mumtukane matusi ya nguoni haibadilishi kua nyinyi ni maharamia wa ligi kuu..tutaona uharamia na ugaidi wenu utaishia wapi...acheni dawa iingie vizuri...ndio mana sasahivi kila mnaloweza mnapayuka tu Hadi mmemvunjia heshima mdhamini Yan mnaropoka tu lolote tu linalowajia...Yan Mimi naomba msilete kweli timu mkatwe hizo point mbwa nyie ili iwe fundisho kwa maharamia wengine
 
Kataa maharamia kwenye ligi kuu..kikundi Cha wahuni wachache wanataka kuharibu ligi YETU...mkafie mbali huko huko nendeni mkacheze ligi nyingine ambazo mtakua mnaweza kufanya uharamia ambao mnataka kufanya hapa kwetu...
Tuliza kipago nani aliyefanya uharamia, mmegoma kucheza sababu za kipuuzi kabisa ambayo haipo kikanuni,huoni kama nyie ndio mlioharibu ligi kwa kitokufuata kanuni.

Tuliza wezele show haikuhusu.
 
Tuliza kipago nani aliyefanya uharamia, mmegoma kucheza sababu za kipuuzi kabisa ambayo haipo kikanuni. Wewe nawe tuliza wezele show haikuhusu.
Kataa maharamia na magaidi kwenye ligi kuu..kikundi Cha wahuni wachache wanataka kuharibu ligi YETU...mkafie mbali huko huko nendeni mkacheze ligi nyingine ambazo mtakua mnaweza kufanya uharamia ambao mnataka kufanya hapa kwetu...
 
Kataa maharamia na magaidi kwenye ligi kuu..kikundi Cha wahuni wachache wanataka kuharibu ligi YETU...mkafie mbali huko huko nendeni mkacheze ligi nyingine ambazo mtakua mnaweza kufanya uharamia ambao mnataka kufanya hapa kwetu...
Tuliza kipago nani aliyefanya uharamia, mmegoma kucheza sababu za kipuuzi kabisa ambayo haipo kikanuni,huoni kama nyie ndio mlioharibu ligi kwa kitokufuata kanuni.

Tuliza wezele show haikuhusu.
 
Tuliza kipago nani aliyefanya uharamia, mmegoma kucheza sababu za kipuuzi kabisa ambayo haipo kikanuni,huoni kama nyie ndio mlioharibu ligi kwa kitokufuata kanuni.

Tuliza wezele show haikuhusu.
Kataa maharamia kwenye ligi kuu..kikundi Cha wahuni wachache wanataka kuharibu ligi YETU...mkafie mbali huko huko nendeni mkacheze ligi nyingine ambazo mtakua mnaweza kufanya uharamia ambao mnataka kufanya hapa kwetu...
 
Kataa maharamia kwenye ligi kuu..kikundi Cha wahuni wachache wanataka kuharibu ligi YETU...mkafie mbali huko huko nendeni mkacheze ligi nyingine ambazo mtakua mnaweza kufanya uharamia ambao mnataka kufanya hapa kwetu...
Tuliza kipago nani aliyefanya uharamia, mmegoma kucheza sababu za kipuuzi kabisa ambayo haipo kikanuni,huoni kama nyie ndio mlioharibu ligi kwa kitokufuata kanuni.

Tuliza wezele show haikuhusu.
 
Wakuu!

Imebaki siku moja kabla ya dabi ya kariakoo hakun tiketi zilizouzwa mashabiki wanaingiaje kwa mkapa?

===

"Mpango wa Nyuma Mwiko kushinikiza Katibu Mkuu wa TFF na Mtendaji wa Bodi ya Ligi wajiuzulu ni mpango wa makusudi wa kutaka kuweka watendaji wapya katika taasisi hizo watakaolinda maslahi yao na kuwapendelea wao

Pia kutaka kuvunjwa kwa kamati ya uendeshaji ya Bodi ya Ligi ni mkakati wa makusudi wa kutaka kuunda kamati ambayo itakua chini yao kimaamuzi

Kumbuka hawa ndio Wavunjaji wakubwa wa kanuni, ikiwemo kupita Geti lisilo rasmi, viongozi wao kuvamia Pitch, Sasa wanataka kuweka kamati ambayo itafumbia macho vitendo hivyo

Kama haitoshi wanataka kuweka Watendaji wapya wa TFF na Bodi ya Ligi ambao watakua waoga kimaamuzi maana wataamini kuwa Nyuma Mwiko wakichachamaa watanin’goa madarakani hivyo watafanya kila jambo kuwafurahisha

Ndugu zetu wa Songesha mlipolala nyie ndio tumeamkia sisi kwa kiufupi ni sisi tupo mbele ya muda

Hatuwezi kuruhusu uhuni huu ufanyike, tutakula na nyie sahani moja kukomesha utoto kwenye mambo ya msingi.

Bodi ya Ligi ni chombo cha vilabu vyote hivyo hatuwezi kuachia timu moja ifanye maamuzi kwa ajili ya wengine wengi na sisi ni Wanachama wa TFF hatuwezi kuruhusu" Ahmed Ally msemaji wa simba Sc

mechi ni tarehe 13-06-2025 au tarehe 15-06-2025?
 
Back
Top Bottom