Ahmed Ally: Mpango wa Yanga kushinikiza Viongozi kujiuzulu ni mpango wa makusudi

Ahmed Ally: Mpango wa Yanga kushinikiza Viongozi kujiuzulu ni mpango wa makusudi

Wakitoka kisa shinikizo la utopolo nao ni viazi. Ligi hii haiendeshwi kwa mihemko ya club 1, yanga acheni ubsbaishaji
 
TFF haiwezi kujiuzulu kisa Hanga,kwani wao kina nani?.Halafu wakishajiuzulu wanaokuja wanatokea wapi na ni kwa maslahi ya kina nani?.Huu ni mpango unasukwa na kundi fulani ambalo pia wana maslahi na Yanga.Hili lililotokea tar 8 pamoja na kwamba siiungi mkono Simba kwa walichofanya ila huu msimamo wa Yanga umejaa unafiki ndani yake.
 
Kataa maharamia kwenye ligi kuu..kikundi Cha wahuni wachache wanataka kuharibu ligi YETU...mkafie mbali huko huko nendeni mkacheze ligi nyingine ambazo mtakua mnaweza kufanya uharamia ambao mnataka kufanya hapa kwetu...
Tuliza kipago nani aliyefanya uharamia, mmegoma kucheza sababu za kipuuzi kabisa ambayo haipo kikanuni,huoni kama nyie ndio mlioharibu ligi kwa kitokufuata kanuni.

Tuliza wezele show haikuhusu.
 
TFF haiwezi kujiuzulu kisa Hanga,kwani wao kina nani?.Halafu wakishajiuzulu wanaokuja wanatokea wapi na ni kwa maslahi ya kina nani?.Huu ni mpango unasukwa na kundi fulani ambalo pia wana maslahi na Yanga.Hili lililotokea tar 8 pamoja na kwamba siiungi mkono Simba kwa walichofanya ila huu msimamo wa Yanga umejaa unafiki ndani yake.
Pathetic!! Kwahiyo wew unaona nchi haina watu wengine ila waliopo ndo wanafaa tu kuongoza tff
 
"Bodi ya Ligi ni chombo cha vilabu vyote hivyo hatuwezi kuachia timu moja ifanye maamuzi kwa ajili ya wengine"
Sasa safari watafanya.

Hamna timu nyingine ya kuongea zaidi ya Yanga, Lipuli walidai hela zao wakambiwa, madai yao ya uongo na khatibu wao akala kibano kutoka TFF na faini milioni tatu,hawakupewa hata nafasi ya mazungumzo wala ukaguzi. So timu nyingine zinaogopa kwenda front, sababu ya alicho fanyiwa mwenzao Lipuli.

Kwenye mpira kunahitajika reform na transparency upande wa mapato, halafu sio kitu kigumu,watafutwe mauditor huru hii issue ya Yanga na TFF ya madai ndani ya wiki inaisha tunachana na hizi speculation.
 
Pathetic!! Kwahiyo wew unaona nchi haina watu wengine ila waliopo ndo wanafaa tu kuongoza tff
Waliopo wataondoka kwa taratibu zilizopo sio kwa shinikizo la timu moja,zipo timu zaidi ya elfu nchi hii.
 
Hata mumtukane matusi ya nguoni haibadilishi kua nyinyi ni maharamia wa ligi kuu..tutaona uharamia na ugaidi wenu utaishia wapi...acheni dawa iingie vizuri...ndio mana sasahivi kila mnaloweza mnapayuka tu Hadi mmemvunjia heshima mdhamini Yan mnaropoka tu lolote tu linalowajia...Yan Mimi naomba msilete kweli timu mkatwe hizo point mbwa nyie ili iwe fundisho kwa maharamia wengine
Kama mnataka tusilete team, kelele za nini sasa!!si mpeleke litimu lenu mkachukue point za bure mbwa nyie
 
Mbona kama Simba inatumia nguvu nyingi kuingia kwenye hili swala Simba alishafanikiwa kumuuzia kesi bodi ya ligi alipaswa kutulia tu kusubiri siku ya tukio
 
Mwambie Hersi Saidi kuwa lengo lake la kuutaka uongozi wa TFF kwa njia zisizo sahihi hatofanikiwa kama alivyoweza kuwarubuni YANGA na wagombea wote wa urais wakajitoa na kuanza kumuunga mkono.

Alipata uongozi kwa wagombea kujiengua na kubaki yeye pekee yake kwenye uchaguzi ni sawa alipita bila kupingwa, je ni kweli kina Mwakalabela na Msonda waliridhia au ilitumika ushawishi wa rushwa?

Je, ni kweli Yanga yenye kujinasibu kuwa nusu ya Watanzania ni Mashabiki na wanachama wao hakuna hata mmoja aliyekosa sifa za kugombea ule uchaguzi?

Kwa sasa anajaribu kila namna kuvuruga mamlaka za soka kwa manufaa yake binafsi huku anawatumka mashabiki maandizi waliozoea supu za bure bila kujitambua..
 
Atulize wezele mipango ya Yanga yy ina muhusu nini.Wamekuja na mpango wao wa kipuuzi wa kugomea mechi kisa hawajafanya mazoezi, ukiwambia walitumia kanuni gani hawana majibu.
Walitumia kanuni Yao ya 'ubaya ubwela', kikikiki
 
Mwambie Hersi Saidi kuwa lengo lake la kuutaka uongozi wa TFF kwa njia zisizo sahihi hatofanikiwa kama alivyoweza kuwarubuni YANGA na wagombea wote wa urais wakajitoa na kuanza kumuunga mkono.

Alipata uongozi kwa wagombea kujiengua na kubaki yeye pekee yake kwenye uchaguzi ni sawa alipita bila kupingwa, je ni kweli kina Mwakalabela na Msonda waliridhia au ilitumika ushawishi wa rushwa?

Je, ni kweli Yanga yenye kujinasibu kuwa nusu ya Watanzania ni Mashabiki na wanachama wao hakuna hata mmoja aliyekosa sifa za kugombea ule uchaguzi?

Kwa sasa anajaribu kila namna kuvuruga mamlaka za soka kwa manufaa yake binafsi huku anawatumka mashabiki maandizi waliozoea supu za bure bila kujitambua..
Sasa unalia nini?, nyie simba na tff mko sawa... Acheni yanga apambanie haki yake😂😂. Maumivi ya nn wakati mnapewa point 3 mnakuwa mabingwa!!.
 
Basi atulie
Aache ukahaba wa kushobokea mambo yasiowahusu
Kisu kimepenya kwenye Tako. Tulieni. Eti mnatishia viongozi mbwa nyie ...nyie ni nani maharamia nyie...
 
Sasa unalia nini?, nyie simba na tff mko sawa... Acheni yanga apambanie haki yake😂😂. Maumivi ya nn wakati mnapewa point 3 mnakuwa mabingwa!!.

Hatuwezi kukubali kumkabidhi mtu kama Hersi cheo kikubwa cha kusimamia mpira wetu kwa hila zake za kijanja aje atuite wala mihogo akikosolewa kama alivyowaita mashabiki na wanachama wa Yanga.

Mnajitoa ufahamu lakini mnaumia ndani kwa ndani kwa sababu hadi sasa hakuna cha maana alichokifanya kwenye ahadi zake zaidi ya drama na upangaji matokeo.

Leo hii Yanga kila atakachosema yeye hakuna wakumpinga tena timu imekuwa kama yake na akisema nyie mashabiki ni kufuata mkumbo tu bila kujua yeye anawatumia kwa manufaa yake na wala si kwa klabu yenu.
 
Sawa nyie mlifanyiwa vya maana ila kila mkifungwa mnadai bil 20,mkiashinda kumbukumbu ya bil 20 inapotea. Sijui mtapona lini ugonjwa wenu wa 20bil.
 
Back
Top Bottom