lunguzamnazi
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 133
- 160
TFF itafanya kosa kubwa sana kama viongozi walioshinikizwa na Yanga wajiuzulu wakajiuzulu
Nendeni mkachukue point 3 sasa kenge nyie,sisi tunapambana na bodi ya ligi nyie mnaleta uchawa kama wasengewasengeKisu kimepenya kwenye Tako. Tulieni. Eti mnatishia viongozi mbwa nyie ...nyie ni nani maharamia nyie...
Pelekeni team sasa mbumbumbuHatutaki maharamia kwenye ligi kuu. Kinyesi.
Hatuwezi kukubali kumkabidhi mtu kama Hersi cheo kikubwa cha kusimamia mpira wetu kwa hila zake za kijanja aje atuite wala mihogo akikosolewa kama alivyowaita mashabiki na wanachama wa Yanga.
Mnajitoa ufahamu lakini mnaumia ndani kwa ndani kwa sababu hadi sasa hakuna cha maana alichokifanya kwenye ahadi zake zaidi ya drama na upangaji matokeo.
Leo hii Yanga kila atakachosema yeye hakuna wakumpinga tena timu imekuwa kama yake na akisema nyie mashabiki ni kufuata mkumbo tu bila kujua yeye anawatumia kwa manufaa yake na wala si kwa klabu yenu.
Nadhani sasa unaelewa somoWaliopo wataondoka kwa taratibu zilizopo sio kwa shinikizo la timu moja,zipo timu zaidi ya elfu nchi hii.
Fyatu bin mbumbumbuTFF haiwezi kujiuzulu kisa Hanga,kwani wao kina nani?.Halafu wakishajiuzulu wanaokuja wanatokea wapi na ni kwa maslahi ya kina nani?.Huu ni mpango unasukwa na kundi fulani ambalo pia wana maslahi na Yanga.Hili lililotokea tar 8 pamoja na kwamba siiungi mkono Simba kwa walichofanya ila huu msimamo wa Yanga umejaa unafiki ndani yake.
Hadi Mangungu lazima aondoke.Wakuu!
Imebaki siku moja kabla ya dabi ya kariakoo hakun tiketi zilizouzwa mashabiki wanaingiaje kwa mkapa?
===
"Mpango wa Nyuma Mwiko kushinikiza Katibu Mkuu wa TFF na Mtendaji wa Bodi ya Ligi wajiuzulu ni mpango wa makusudi wa kutaka kuweka watendaji wapya katika taasisi hizo watakaolinda maslahi yao na kuwapendelea wao
Pia kutaka kuvunjwa kwa kamati ya uendeshaji ya Bodi ya Ligi ni mkakati wa makusudi wa kutaka kuunda kamati ambayo itakua chini yao kimaamuzi
Kumbuka hawa ndio Wavunjaji wakubwa wa kanuni, ikiwemo kupita Geti lisilo rasmi, viongozi wao kuvamia Pitch, Sasa wanataka kuweka kamati ambayo itafumbia macho vitendo hivyo
Kama haitoshi wanataka kuweka Watendaji wapya wa TFF na Bodi ya Ligi ambao watakua waoga kimaamuzi maana wataamini kuwa Nyuma Mwiko wakichachamaa watanin’goa madarakani hivyo watafanya kila jambo kuwafurahisha
Ndugu zetu wa Songesha mlipolala nyie ndio tumeamkia sisi kwa kiufupi ni sisi tupo mbele ya muda
Hatuwezi kuruhusu uhuni huu ufanyike, tutakula na nyie sahani moja kukomesha utoto kwenye mambo ya msingi.
Bodi ya Ligi ni chombo cha vilabu vyote hivyo hatuwezi kuachia timu moja ifanye maamuzi kwa ajili ya wengine wengi na sisi ni Wanachama wa TFF hatuwezi kuruhusu" Ahmed Ally msemaji wa simba Sc
Mangungu na Ahmed Ally watuachie timu yetu. Tangu washike madaraka, hatujawahi kuwa mabingwa kwenye mashindano yoyote yale makubwa. Sisi mashabiki kwa kweli tumechoka kuushuhudia ubingwa kwa jirani kila msimu.Hadi Mangungu lazima aondoke.