Ahmed Ally: Mpango wa Yanga kushinikiza Viongozi kujiuzulu ni mpango wa makusudi

TFF itafanya kosa kubwa sana kama viongozi walioshinikizwa na Yanga wajiuzulu wakajiuzulu
 

Kila mtu atakubali harakati za yanga dhidi ya wapuuzi tff
 
Chadema wanasema tume huru ya uchaguzi haipo huru, watashiriki baada ya reform kufanyika.
Ccm wanasema kuwa reform zilifanyika na tume ni huru.
Tume ya uchaguzi ni kimya sana haitaki kuwajibu au kulitolea ufafanuzi malalamiko ya Chadema hivyo inamaanisha kuwa CCM ni chama ndani au tawi la tume ya uchaguzi.

Yanga wanasema hawashiriki hadi ripoti ya kwanini mechi ya awali ilihairishwa ili mwenye makosa aadhibiwe kama kanuni inavyosema.

Simba wao wanasema sisi tutacheza wakati wowote bodi ikipanga mechi, suala la taarifa ya kuhairishwa mechi ya Machi 8 haiwahusu.

Bodi ya ligi wao wamekaa kimya hawataki kuzungumzia taarifa waliyosema kuwa wanafanya uchunguzi na kutoa taarifa kwa uharaka zaidi.

Simba ni timu au tawi la bodi?
 
Fyatu bin mbumbumbu
 
Hadi Mangungu lazima aondoke.
 
Hadi Mangungu lazima aondoke.
Mangungu na Ahmed Ally watuachie timu yetu. Tangu washike madaraka, hatujawahi kuwa mabingwa kwenye mashindano yoyote yale makubwa. Sisi mashabiki kwa kweli tumechoka kuushuhudia ubingwa kwa jirani kila msimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…