Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

Simba bana .... Mlisema mashabiki wa yanga n maskini hawawezi kujilipia viingilio... Kupitia kauli zenu uongozi wa yanga ukaiomba serikali iwasaidie Hawa mashabiki maskini kwenda bonde... Serikali imekubali hao kwa madiba. Mnacholalamika Nini wakati yanga ni ombaomba? Au nanyie mnataka msaada ila mbaogopa kuitwa maskini?. Tajiri hawezi kuumia pale maskini anaoosaidiwa!.
 
Inaongewa kuhusu kodi ya nchi kutumiwa hovyo kwa wapenda dezodezo.Wewe kalumekenge unapinga.Hili suala lilikuwa siri.Siri imefichuka.Yanga mna mdhamini anayejiita "tajiri"!Nini kimemshinda kugharamia washabiki wenu?Jambo hili Naibu Waziri Mwinyjuma ana la kujibu.
Utahira unakusumbua Siri itangazwe!.
 
Yanga walionyesha uzalendo kuruhusu wananchi watanzania kuingia bure uwanjani katika mechi kubwa hivyo kuchangia kukuza soka! Pia Yanga imeshiriki fainali za CAF na kutwaa medali na kwa sasa ndiye timu inayoongoza kwa kutwaa kombe la ligi mara nyingi kuliko club yoyote! Kwa hili naona serikali iko sawa kabisa kurudisha fadhila.
Wallah wabilah tangu nijiunge JF mwaka 2014 sijawahi kukutana na hoja dhaifu muflis kama hii tena huku mtoa hoja akiwa anajiamini kupitiliza kwamba ametoa hoja ya maana.
 
Unaelekezwa mambo muhimu umeanza kukumbuka mambo yako ya kufanyiwa kitchen party na ushoga.Stupid.Nikajua ni mtu unayejielewa.
Mchawi huongea uchawi wake .. siku zile unatiwa madolee pale mnazi mmoja umesahau?.
FB_IMG_17121440353228893.jpg
 
Kwenye timu ya taifa serikali wanakua hawana hela yani omba omba kila mwenye chochote achangie timu ya taifa alafu huku kwenye Simba na yanga wanapata hela za kuchezea namna hiyo hua nashindwa kuwaelewa hawa viongozi wa ccm
 
Hapa somo la ccm limefanikiwa.
Wagawe watawale.
Wewe na wenzio ni mfano wa wajinga mnaowapa ahueni wanaotumia vibaya nafasi za umma
Sasa wewe usiyependa ahueni unalamika Nini hapa?
 
Huo ni unafki mara kibao simba anachukua ela kwa kufunga goli kwenye mech za CAF tokea msimu uliopita alafu unajifanya hujui

Tatizo kubwa la watanzania ni unafki
Sasa hiyo ilikuwa siri?Unachanganya mambo.Au neno unafiki unalifanyia mazoezi namna ya kulitumia?
 
Back
Top Bottom