Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utahira unakusumbua Siri itangazwe!.Inaongewa kuhusu kodi ya nchi kutumiwa hovyo kwa wapenda dezodezo.Wewe kalumekenge unapinga.Hili suala lilikuwa siri.Siri imefichuka.Yanga mna mdhamini anayejiita "tajiri"!Nini kimemshinda kugharamia washabiki wenu?Jambo hili Naibu Waziri Mwinyjuma ana la kujibu.
Kama ni hivyo Tundu Lissu na Mbowe ni CCMLipo wazi kwa wachache, wengi wapo gizani hawajui kuwa kushabikia yanga ni kuishabikia CCM pia.
Wallah wabilah tangu nijiunge JF mwaka 2014 sijawahi kukutana na hoja dhaifu muflis kama hii tena huku mtoa hoja akiwa anajiamini kupitiliza kwamba ametoa hoja ya maana.Yanga walionyesha uzalendo kuruhusu wananchi watanzania kuingia bure uwanjani katika mechi kubwa hivyo kuchangia kukuza soka! Pia Yanga imeshiriki fainali za CAF na kutwaa medali na kwa sasa ndiye timu inayoongoza kwa kutwaa kombe la ligi mara nyingi kuliko club yoyote! Kwa hili naona serikali iko sawa kabisa kurudisha fadhila.
Unaelekezwa mambo muhimu umeanza kukumbuka mambo yako ya kufanyiwa kitchen party na ushoga.Stupid.Nikajua ni mtu unayejielewa.Chomoa kama imepenyaa watu waleee wanakula hewa kwa madiba.😅😋
Mchawi huongea uchawi wake .. siku zile unatiwa madolee pale mnazi mmoja umesahau?.Unaelekezwa mambo muhimu umeanza kukumbuka mambo yako ya kufanyiwa kitchen party na ushoga.Stupid.Nikajua ni mtu unayejielewa.
Mechi vs galaxy mlichukua mamilion ya fedha hamkulalamika mngekataa zile fedhaKimya kwenye wizi?Huo ni wizi uliotakiwa uwe siri (imefichuka)na ni upendeleo.
Ni nani aliye kudanganya kuwa hao ni wapinzani?Kama ni hivyo Tundu Lissu na Mbowe ni CCM
Kutoka kwa nani?Sina taarifa.Mechi vs galaxy mlichukua mamilion ya fedha hamkulalamika mngekataa zile fedha
Huduma za msingi Kama zipi zitazotimizwa kwa TSH 1.2m?!Serikali imeshajua Kuna mazuzu wengi ndio maana inagharamikia mazuzu huku ukiacha kugharamikia huduma za.msingi.
Huo ni unafki mara kibao simba anachukua ela kwa kufunga goli kwenye mech za CAF tokea msimu uliopita alafu unajifanya hujuiKutoka kwa nani?Sina taarifa.
Wanachama na mashabiki wa yanga ndiyo walianzisha Simba scLipo wazi kwa wachache, wengi wapo gizani hawajui kuwa kushabikia yanga ni kuishabikia CCM pia.
Sasa wewe usiyependa ahueni unalamika Nini hapa?Hapa somo la ccm limefanikiwa.
Wagawe watawale.
Wewe na wenzio ni mfano wa wajinga mnaowapa ahueni wanaotumia vibaya nafasi za umma
Sasa hiyo ilikuwa siri?Unachanganya mambo.Au neno unafiki unalifanyia mazoezi namna ya kulitumia?Huo ni unafki mara kibao simba anachukua ela kwa kufunga goli kwenye mech za CAF tokea msimu uliopita alafu unajifanya hujui
Tatizo kubwa la watanzania ni unafki
Weka reference hapa twende pamojaWanachama na mashabiki wa yanga ndiyo walianzisha Simba sc