kadovela
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 471
- 679
Sex ni basic need wewe sio starehePiga demu akupe UTI sugu na gono ndo utajua kwamba starehe ina maumivu ama lah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sex ni basic need wewe sio starehePiga demu akupe UTI sugu na gono ndo utajua kwamba starehe ina maumivu ama lah
Sex ni want bablai uliahwahi ona mtu amekufa kwa kukosa sexSex ni basic need wewe sio starehe
Kama nyie ni werevu na mnatetea matumizi bora ya nafasi za umma kwa nini na nyie mnalilia mpewe kama wenzenu? Au ndiyo ile hadithi ya sungura...."mbichi sizitaki"!!??? Subirini mkipewa najua kelele zote hizi hazitakuwepo.Hapa somo la ccm limefanikiwa.
Wagawe watawale.
Wewe na wenzio ni mfano wa wajinga mnaowapa ahueni wanaotumia vibaya nafasi za umma
View attachment 2952641
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri
Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000.
Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu Nusu Fainali, Ila msimamo wangu ni kwamba si jambo jema hata kidogo.
Kwa Mashabiki mpira ni starehe hivyo Serikali haiwezi kugharamia watu kwenda kustarehe.
Tena bora ingekua imetoa usafiri tu. Lakini wametoa Posho Dola 500 kila kichwa sawa na Milioni 1,200,000 kwa ufupi hawa Mashabiki wamenuniliwa na wanalipwa kuishangilia timu yao.
Na hao sio Mashabiki wa kawaida ni Machawa wanaotetea maslahi ya viongozi wao yaani Serikali imelipia Machawa wa watu.
Kuwalipia nauli sio kuwapenda ni kufuga tatizo ambalo baadae hatutaweza kulitatua.
Leo unalipia mashabiki wa klabu, kesho Ali Kiba ataiomba Serikali iwagharamie mashabiki wake kwenda Marekani kufanya show utamnyima?
Twaha Kiduku ataomba aende kupigana Uingereza na mashabiki wake utamnyima??
Nani kaumia huko yanga?Mpira sio starehe. Starehe haina maumivu
Ni wanafki sanaMbona zile za goli la Mama walipokea pia?
Wangeonyesha mfano wa kupinga ufujaji kwa kuzikataa zile pesa.Ni wanafki sana