Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

Hapa somo la ccm limefanikiwa.
Wagawe watawale.
Wewe na wenzio ni mfano wa wajinga mnaowapa ahueni wanaotumia vibaya nafasi za umma
Kama nyie ni werevu na mnatetea matumizi bora ya nafasi za umma kwa nini na nyie mnalilia mpewe kama wenzenu? Au ndiyo ile hadithi ya sungura...."mbichi sizitaki"!!??? Subirini mkipewa najua kelele zote hizi hazitakuwepo.
 
View attachment 2952641
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri

Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000.

Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu Nusu Fainali, Ila msimamo wangu ni kwamba si jambo jema hata kidogo.

Kwa Mashabiki mpira ni starehe hivyo Serikali haiwezi kugharamia watu kwenda kustarehe.

Tena bora ingekua imetoa usafiri tu. Lakini wametoa Posho Dola 500 kila kichwa sawa na Milioni 1,200,000 kwa ufupi hawa Mashabiki wamenuniliwa na wanalipwa kuishangilia timu yao.

Na hao sio Mashabiki wa kawaida ni Machawa wanaotetea maslahi ya viongozi wao yaani Serikali imelipia Machawa wa watu.

Kuwalipia nauli sio kuwapenda ni kufuga tatizo ambalo baadae hatutaweza kulitatua.

Leo unalipia mashabiki wa klabu, kesho Ali Kiba ataiomba Serikali iwagharamie mashabiki wake kwenda Marekani kufanya show utamnyima?

Twaha Kiduku ataomba aende kupigana Uingereza na mashabiki wake utamnyima??
 


Tanzania nchi yangu daaah ngoja nikae kimya
 
Tajiri anaumia masikini Ombaomba akisaidiwa, kweli !! Tuoneeni huruma sisi Masikini kwa kusaidiwa, bado kuna mashabiki wetu 2 wameshindwa kupata nauli ili wafike 50, tunaomba Simba mtusaidie kuwasafirisha ili wafike Bondeni jamani.
 
Wakati Pana shule zinakosa vyoo Kwa Hela hio ingekuwa msaada
 
Back
Top Bottom