Ahmed Ally ungerahisisha tu kwa kusema ukweli kuwa sasa Mo Dewji ameishiwa Pesa na Klabu inaweweseka kimapato sasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc.

Chanzo: Dar Mpya Blog

Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums nilikuja na Uzi wa Kuwashtueni Simba SC kuwa miezi Mitatu nyuma niuliona katika Mtandao wa FC Berkane kuwa wana nia naye huyu Mchezaji na kuwataka Simba SC nanyi mchangamke jla matokeo yake mkawa busy Kuwadanganya Wanasimba kuwa mtakuwa Mabingwa wakati wenye Akili tokea tulivyofungwa tu vile na Mbeya City na Kagera Sugar tulishajua kuwa Ubingwa sasa basi.

Haya upesi sana mwambie Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'try again' awaombe Radhi wana Simba SC wote kwani aliwaaminisha Siku nyingi na hata majuzi hapa kuwa Simba SC haiwezi Kamwe Kumkosa huyu Mchezaji na Leo umekuja Kukiri rasmi kuwa hamna uwezo wa Kumpata.

Kesho Msemaji wa Simba SC ( Ahmed Ally ) itisha tena 'Press Conference' na waambie huu Ukweli wana Simba SC wote kuwa Ukweli ni kwamba hivi sasa Tajiri Mo Dewji Fedha inaanza Kukata halafu pia hata Klabu kama Klabu haina Mapato yake na kwamba kila Kitu tulikuwa tunamtegemea Mo Dewji ambaye nina taarifa pia kuwa kuna baadhi ya Viongozi wa Simba SC hawapokelei Simu zao kwa Kitendo cha Kumuangusha kwa Timu kufanya vibaya wakati alikuwa akitoa Pesa ila zilikuwa zinaliwa tu na Wajanja akina Mulamu na haziendi kule zilikokuwa zikikusudiwa.

Na jinsi GSM alivyo Jeuri nina uhakika huyu Adebayor na Yule Azziz wote wanaenda Yanga SC na ombeni kwa Mungu wasiende huko kwani kwa Uzurii wa Wachezaji wa Yanga SC akiwemo Mayele, Aucho na Bangala wakiongezeka na hawa Wawili tegemeeni mkikutana nao si tu tutapigwa Goli nyingi lakini pia watatupigia mwingi mno Uwanjani.

Kudadadeki.
 
Swala la Mwamedi kuishiwa pesa hizo ni ndoto za mchana, labda useme hayuko tayari kupoteza pesa zake kwa mafisi yaliyojaa hapo msimbazi.
 
tukimkosa tutajifichia kwenye

1) Tumecheza naye mechi tatu na zote hajatufunga.
VS Simba
Vs Simba
Vs Taifa Stars

2) Forward inakabwa na Kibwana Shomari inapotea.
 
Ngoja matikiti maji ya Mudi yaje, yatakushambulia badala ya kujibu hoja yako
 
Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc.

Chanzo: Dar Mpya Blog

Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums nilikuja na Uzi wa Kuwashtueni Simba SC kuwa miezi Mitatu nyuma niuliona katika Mtandao wa FC Berkane kuwa wana nia naye huyu Mchezaji na kuwataka Simba SC nanyi mchangamke jla matokeo yake mkawa busy Kuwadanganya Wanasimba kuwa mtakuwa Mabingwa wakati wenye Akili tokea tulivyofungwa tu vile na Mbeya City na Kagera Sugar tulishajua kuwa Ubingwa sasa basi.

Haya upesi sana mwambie Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'try again' awaombe Radhi wana Simba SC wote kwani aliwaaminisha Siku nyingi na hata majuzi hapa kuwa Simba SC haiwezi Kamwe Kumkosa huyu Mchezaji na Leo umekuja Kukiri rasmi kuwa hamna uwezo wa Kumpata.

Kesho Msemaji wa Simba SC ( Ahmed Ally ) itisha tena 'Press Conference' na waambie huu Ukweli wana Simba SC wote kuwa Ukweli ni kwamba hivi sasa Tajiri Mo Dewji Fedha inaanza Kukata halafu pia hata Klabu kama Klabu haina Mapato yake na kwamba kila Kitu tulikuwa tunamtegemea Mo Dewji ambaye nina taarifa pia kuwa kuna baadhi ya Viongozi wa Simba SC hawapokelei Simu zao kwa Kitendo cha Kumuangusha kwa Timu kufanya vibaya wakati alikuwa akitoa Pesa ila zilikuwa zinaliwa tu na Wajanja akina Mulamu na haziendi kule zilikokuwa zikikusudiwa.

Na jinsi GSM alivyo Jeuri nina uhakika huyu Adebayor na Yule Azziz wote wanaenda Yanga SC na ombeni kwa Mungu wasiende huko kwani kwa Uzurii wa Wachezaji wa Yanga SC akiwemo Mayele, Aucho na Bangala wakiongezeka na hawa Wawili tegemeeni mkikutana nao si tu tutapigwa Goli nyingi lakini pia watatupigia mwingi mno Uwanjani.

Kudadadeki.
Dah! Kuna wakati una akili kumshinda CEO wako Barbara Gonzalez! Utakuwa ulisoma FM Academia wewe bila shaka.
 
Si mlisema simba ni club tajiri inakuwaje mnashindwana na mchezaji au mnasubiri kununua wachezaji wa mafungu
 
Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc.

Chanzo: Dar Mpya Blog

Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums nilikuja na Uzi wa Kuwashtueni Simba SC kuwa miezi Mitatu nyuma niuliona katika Mtandao wa FC Berkane kuwa wana nia naye huyu Mchezaji na kuwataka Simba SC nanyi mchangamke jla matokeo yake mkawa busy Kuwadanganya Wanasimba kuwa mtakuwa Mabingwa wakati wenye Akili tokea tulivyofungwa tu vile na Mbeya City na Kagera Sugar tulishajua kuwa Ubingwa sasa basi.

Haya upesi sana mwambie Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'try again' awaombe Radhi wana Simba SC wote kwani aliwaaminisha Siku nyingi na hata majuzi hapa kuwa Simba SC haiwezi Kamwe Kumkosa huyu Mchezaji na Leo umekuja Kukiri rasmi kuwa hamna uwezo wa Kumpata.

Kesho Msemaji wa Simba SC ( Ahmed Ally ) itisha tena 'Press Conference' na waambie huu Ukweli wana Simba SC wote kuwa Ukweli ni kwamba hivi sasa Tajiri Mo Dewji Fedha inaanza Kukata halafu pia hata Klabu kama Klabu haina Mapato yake na kwamba kila Kitu tulikuwa tunamtegemea Mo Dewji ambaye nina taarifa pia kuwa kuna baadhi ya Viongozi wa Simba SC hawapokelei Simu zao kwa Kitendo cha Kumuangusha kwa Timu kufanya vibaya wakati alikuwa akitoa Pesa ila zilikuwa zinaliwa tu na Wajanja akina Mulamu na haziendi kule zilikokuwa zikikusudiwa.

Na jinsi GSM alivyo Jeuri nina uhakika huyu Adebayor na Yule Azziz wote wanaenda Yanga SC na ombeni kwa Mungu wasiende huko kwani kwa Uzurii wa Wachezaji wa Yanga SC akiwemo Mayele, Aucho na Bangala wakiongezeka na hawa Wawili tegemeeni mkikutana nao si tu tutapigwa Goli nyingi lakini pia watatupigia mwingi mno Uwanjani.

Kudadadeki.
Tatizo viongozi wa simba matapeli,walisema wamemnunua kibu kwa ths mia mbili milioni kumbe walitoa milioni arobaini tu
 
Back
Top Bottom