Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Ni kweli mkuu! Samahani kwa hilo!Inawezekana umeniquote kwa makosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu! Samahani kwa hilo!Inawezekana umeniquote kwa makosa
Sisi simba tunaiwinda saini ya bonge la mido Nassoro kapama na Shiza kichuya ili majembe ayo yatusaidie kwenye mechi za kimataifa, maana tushawapiga bao yanga kuwapata wachezaji hao, bila kusahau tunawawinda wachezaji wengine ambao ni mafree agent tuwasajili kwa bei kitonga pia wale walioachwa na timu zao ni halali yetu tunabeba wote maana tunabana matumizi mil.800 tuliyotenga kwaajili ya usajili tunajua Aziz ki tusingemuweza kama kalamba mil.500 peke yake tungebakiwa na 300 tu wakati tunataka wachezaji kama 8 wa bei ya mserereko🤣🤣🤣🤣“Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc.
Chanzo: Dar Mpya Blog
Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums nilikuja na Uzi wa Kuwashtueni Simba SC kuwa miezi Mitatu nyuma niuliona katika Mtandao wa FC Berkane kuwa wana nia naye huyu Mchezaji na kuwataka Simba SC nanyi mchangamke jla matokeo yake mkawa busy Kuwadanganya Wanasimba kuwa mtakuwa Mabingwa wakati wenye Akili tokea tulivyofungwa tu vile na Mbeya City na Kagera Sugar tulishajua kuwa Ubingwa sasa basi.
Haya upesi sana mwambie Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'try again' awaombe Radhi wana Simba SC wote kwani aliwaaminisha Siku nyingi na hata majuzi hapa kuwa Simba SC haiwezi Kamwe Kumkosa huyu Mchezaji na Leo umekuja Kukiri rasmi kuwa hamna uwezo wa Kumpata.
Kesho Msemaji wa Simba SC ( Ahmed Ally ) itisha tena 'Press Conference' na waambie huu Ukweli wana Simba SC wote kuwa Ukweli ni kwamba hivi sasa Tajiri Mo Dewji Fedha inaanza Kukata halafu pia hata Klabu kama Klabu haina Mapato yake na kwamba kila Kitu tulikuwa tunamtegemea Mo Dewji ambaye nina taarifa pia kuwa kuna baadhi ya Viongozi wa Simba SC hawapokelei Simu zao kwa Kitendo cha Kumuangusha kwa Timu kufanya vibaya wakati alikuwa akitoa Pesa ila zilikuwa zinaliwa tu na Wajanja akina Mulamu na haziendi kule zilikokuwa zikikusudiwa.
Na jinsi GSM alivyo Jeuri nina uhakika huyu Adebayor na Yule Azziz wote wanaenda Yanga SC na ombeni kwa Mungu wasiende huko kwani kwa Uzurii wa Wachezaji wa Yanga SC akiwemo Mayele, Aucho na Bangala wakiongezeka na hawa Wawili tegemeeni mkikutana nao si tu tutapigwa Goli nyingi lakini pia watatupigia mwingi mno Uwanjani.
Kudadadeki.
Aziz ki huyo msimbaziSisi simba tunaiwinda saini ya bonge la mido Nassoro kapama na Shiza kichuya ili majembe ayo yatusaidie kwenye mechi za kimataifa, maana tushawapiga bao yanga kuwapata wachezaji hao, bila kusahau tunawawinda wachezaji wengine ambao ni mafree agent tuwasajili kwa bei kitonga pia wale walioachwa na timu zao ni halali yetu tunabeba wote maana tunabana matumizi mil.800 tuliyotenga kwaajili ya usajili tunajua Aziz ki tusingemuweza kama kalamba mil.500 peke yake tungebakiwa na 300 tu wakati tunataka wachezaji kama 8 wa bei ya mserereko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]